Watu wenye mvuto na uwezo mkubwa wa akili

michael92

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
726
1,164
Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.

Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika.

Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye akili nyingi,maarufu,wajanja n.k

Nimetumia neno binadamu kwa makusudi kabsa.

Kama kuna anaepinga basi apinge kwa hoja sio vioja,mipasho,matusi.

Kifupi SIMBA SC ina binadamu wenye akili sana/akili timamu.Sina maana wengine hawana akili timamu ila kila mtu afanye tafiti zake.

Naomba kuwasilisha.
 
Nakubaliana na wewe Kwa Asilimia Mia moja..!

Matokeo ya Utafiti wako yanafanana Moja Kwa moja na Maoni yayoliwahi Kutolewa na Bw.Haji Manara Kuwa Kwengineko kuna Wehu Watupu Ukiondoa Mzee wa Msoga na Babaake...!
 
Watu wenyewe ndio hawa? au hayatuhusu
IMG_20220826_200500.jpg
JamiiForums94287266.jpg
 
Attachments

  • IMG_20220909_134801.jpg
    IMG_20220909_134801.jpg
    50.5 KB · Views: 2
Nakubaliana na wewe Kwa Asilimia Mia moja..!

Matokeo ya Utafiti wako yanafanana Moja Kwa moja na Maoni yayoliwahi Kutolewa na Bw.Haji Manara Kuwa Kwengineko kuna Wehu Watupu Ukiondoa Mzee wa Msoga na Babaake...!
Asante sana kiongozi.

Ngoja tusubiri maoni yao.
 
Ni kweli mkuu, mwenye akili ni yule aliyeingiza bilion 20 hewa ya uwekezaji na akapewa timu.
 
Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.

Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika.

Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye akili nyingi,maarufu,wajanja n.k

Nimetumia neno binadamu kwa makusudi kabsa.

Kama kuna anaepinga basi apinge kwa hoja sio vioja,mipasho,matusi.

Kifupi SIMBA SC ina binadamu wenye akili sana/akili timamu.Sina maana wengine hawana akili timamu ila kila mtu afanye tafiti zake.

Naomba kuwasilisha.
Hao mashabiki/wanachama, ni tofauti na wale walioitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu Mstaafu Ismail Aden Rage!!!
 
Nikukumbushe jambo Rage alisema kuna wengine yaani baadhi hakutukana wote.

Aliwatukana wale ambao ana ugomv nao.

Ila ndugu Haji Manara yeye aliwatoa watu wachache tu ndio akasema hawa wana akili ila waliobaki ni hamnazo.

Yaani Haji alimaansha hadi wewe ni hamnazo na ili kuonesha hakukosea ile kauli yake mkabidi mumchukue hamnazo mwenzenu maana mligundua yupo upande wa watu wenye akili timamu.

Kauli ya Haji ni kubwa zaidi maana hata nyinyi mnakubali kuwa hamnazo ndio maana mlimvuta hamnazo mwenzenu ili awasaidie muondoe huo uamnazo.
 
Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.

Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika.

Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye akili nyingi,maarufu,wajanja n.k

Nimetumia neno binadamu kwa makusudi kabsa.

Kama kuna anaepinga basi apinge kwa hoja sio vioja,mipasho,matusi.

Kifupi SIMBA SC ina binadamu wenye akili sana/akili timamu.Sina maana wengine hawana akili timamu ila kila mtu afanye tafiti zake.

Naomba kuwasilisha.
Uharoooo
 
Sometimes JF inaboa sababu ya uzi za kindezi mno yaani. Ni kama wote tunachukuliana madreva boda stori mnazopigiana vijiweni.

Ujinga ujingaaaaaaaa

Mmeharibu heshima ya FB sasa mnataka kuharibu na heshima ya JF
 
Mleta mada yuko sahihi. Hakuna watu wajinga wajinga kama mashabiki wa Deportivo de Utopolo. Niko tayari kuthibitisha maneno yangu mbele ya mahakama yoyote ile
 
Nikukumbushe jambo Rage alisema kuna wengine yaani baadhi hakutukana wote.

Aliwatukana wale ambao ana ugomv nao.

Ila ndugu Haji Manara yeye aliwatoa watu wachache tu ndio akasema hawa wana akili ila waliobaki ni hamnazo.

Yaani Haji alimaansha hadi wewe ni hamnazo na ili kuonesha hakukosea ile kauli yake mkabidi mumchukue hamnazo mwenzenu maana mligundua yupo upande wa watu wenye akili timamu.

Kauli ya Haji ni kubwa zaidi maana hata nyinyi mnakubali kuwa hamnazo ndio maana mlimvuta hamnazo mwenzenu ili awasaidie muondoe huo uamnazo.
Umeelewa nilichoandika kweli? Au ndiyo mambo yale yale!
 
Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.

Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika.

Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye akili nyingi,maarufu,wajanja n.k

Nimetumia neno binadamu kwa makusudi kabsa.

Kama kuna anaepinga basi apinge kwa hoja sio vioja,mipasho,matusi.

Kifupi SIMBA SC ina binadamu wenye akili sana/akili timamu.Sina maana wengine hawana akili timamu ila kila mtu afanye tafiti zake.

Naomba kuwasilisha.
kwahiyo ile kauli ya mbumbumbu ilikuwa inawalenga akina nani...
 
Back
Top Bottom