Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

Mfilisiti

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
342
1,551
Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa.

Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023
Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai😂😂

Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie"
Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi?

NB: Hawa wote hamna hata mmoja ambaye nishawahi onana naye ila wanavutia na kunukia tu hata huko waliko na hata kupitia uandishi wao, sasa sijui na wenyewe watakua na vigimbi kama vya Nsajigwa au ni kweli wana mvuto.

Na hii ndio list yenyewe🌹🌹🌹
jamii forum._032813~3.png
 
duuh mzee baba umetisha, yaani umeweka mpaka table kabisa.

anyway, mnachokifanya sometime ni kizuri maana kina promote friendship but katika namna nyingine ni kibaya maana kinawabeza kundi hili na kuwakweza wanawake wengine. its not fair.

sababu kubwa ya jamii forum kuficha identity ni kwamba watu waji keep busy na content kuliko appearence za watu. na hii ndio tofauti ya JF na mitandao mingine.

Nashauri tu, kama una hisia za aina yeyote na fulani pm zipo wazi mfuate. watu humu ndani watukuzwe kwa mabandiko yao na sio sura zao.
 
Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa.
Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023
Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai
Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie"
Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi???

NB: Hawa wote hamna hata mmoja ambaye nishawahi onana naye ila wanavutia na kunukia tu hata huko waliko na hata kupitia uandishi wao, sasa sijui na wenyewe watakua na vigimbi kama vya Nsajigwa au ni kweli wana mvuto.
Na hii ndio list yenyeweView attachment 2856922
Hata mm naona umepita mulemule ila list haijakamilika bila Paula Paul na
Numbisa
 
Back
Top Bottom