mvuto

  1. Dogoli kinyamkela

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOOJumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu. HAPPY SATAN DAY By Dr DOGOLI...
  2. Hance Mtanashati

    PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

    Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu. Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao...
  3. J

    Bajeti imekosa mvuto?

    Nimejaribu kufuatilia katika maeneo na vyanzo mbalimbali kuhusu mwitikio wa wananchi juu ya bajeti ya serikali ya mwaka 2025/2026, nimebaki nikijiuliza, bajeti haina mvuto? Au wananchi wamekata tamaa kufutilia huo mpango mkuu wa serikali? Sio katik media au vijiweni, mjadala.kuhusu bajeti...
  4. Jidu La Mabambasi

    BUNGENI: Wageni watia usingizi wa pono, mijadala haina mvuto

    Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO! Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu. Wawili wanasogoa. Heko Bunge letu takatifu.
  5. R

    Wala haina mvuto, watanzania wameikataa, hakuna aliyetiki.

    CCM Mmekataliwa, hakuna aliyetiki hata mmoja ukimuacha Mwigulu , Makalla na Nchimbi na vichawa vidogo. Hao nao moyoni mwao wanaimba No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No...
  6. B

    Maisha ya sisi Matajiri wenye mvuto na akili yana Changamoto sana. Watu wanatushangaa kwa kila chetu

    Watu wengine wan kero sana. Mtu anakuona sehemu ume chill anakuja kukushangaa shangaa. Mara anauliza hii saa ulinunua wapi? tsh ngapi? Hizo sandals mbona kali sana? Sijui we mbona una ngozi laini kama ya mtoto unapaka nini? Na huyo anayeniuliza ni mtoto wa Tajiri mmoja huku Dubai. Mara mbona...
  7. second9

    Bunge la Tanzania limepoteza heshima na mvuto kabisa

    Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu. Bunge la Tanzania. Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na...
  8. Muimba SINGELI

    Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

    Tajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea. Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf. Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi. Tajiri Sina BAYA Machache kuhusu mimi. 1. Nina hela. 2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi. 3. Nina hela. 4, 5, 6, 7, 8...
  9. Dogoli kinyamkela

    Nguvu ya kinga mvuto wa pesa

    Hii picha ya sigil Tayari ina: Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi). Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio). Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na pentagram). Unachotakiwa kufanya sasa: 1. Ichapishe au ichore kwenye karatasi ya kawaida nyeupe. 2...
  10. mdukuzi

    Papa John Paul II ndio Papa aliyekuwa na mvuto kwa miaka ya karibuni

    Mwaka 1990 au 91 sikumbuki vizuri,Papa Joh Paul II alitembelea nchini. Nimesahu mwaka maana walipishana mwaka mmoja na ujio wa Nelson Mandela. Zilitungwanyimbo nyingi sana kuhusu ziara yakenamapokezi yakehayakuwa namfano, Ziara ilifanasana kuanzia Dar mpaka Mwanza Kawekamo,mliokuwepo...
  11. Strong and Fearless

    Je, Mvuto wa Kimwili au Akili: Nini Muhimu Zaidi Katika Kuchagua Mwenza?

    Katika uhusiano wa kimapenzi, kuna maoni tofauti kuhusu kile kinachopaswa kuwa kipengele muhimu zaidi katika kuchagua mwenza. Je, mvuto wa kimwili (physical attraction) au akili (intellectual attraction) unapaswa kuwa kipaumbele? Wengine wanaweza kusema kuwa mvuto wa nje ni muhimu kwa kuanzisha...
  12. Alubati

    Majaji wa mchezo wa ngumi wanachangia kuufanya mchezo huu kupoteza mvuto hapa nchini

  13. KING MIDAS

    Nasikitika, Mshana Jr amepoteza mvuto

    Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia. Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma. Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama. Mzee...
  14. ngara23

    Mzizima derby (Simba vs Azam) imepoteza mvuto

    Hii ilikuwa Moja ya derby kubwa hapa Tanzania baada ya Ile ya Simba. Vs Yanga Ila Kwa Sasa ni kama mechi ya kawaida kabisa, watu hawana habari nayo Bado siku 1 hii derby ipigwe lakini hakuna anayejali, Watu wanaongelea mechi Mashujaa vs Yanga, hii imesikitisha sana Inasemekana kitu kilichoouwa...
  15. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Bashiru Ally Kakurwa rudi CUF, ongea na Lipumba ugombee Urais mwaka huu

    Ujumbe huu ni Kwa ajili ya ndugu Bashiru Ally kakurwa. Kwakuwa umepoteza Mvuto wa kisiasa basi rudi Nyumbani CUF ukagombee urais. PIA SOMA - CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  17. Planet Data bundles

    naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

    Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
  18. N

    Marais waliopo Madarakani ambao ushawishi wao kwa Wananchi umepungua kwa kasi

    Viwango vya uungwaji mkono wa marais na kupungua ushawishi wao duniani na kwenye nchi zao,tunaweza kutumia vyanzo vya kimataifa vyenye kuaminika kama Morning Consult, ambayo hutoa takwimu za mara kwa mara kuhusu uungwaji wa mkono wa viongozi na huwa wanachapisha taarifa hizi kila siku...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    LGE2024 Kuenguliwa kwa baadhi ya wagombea wa upinzani kumefanya zoezi la uchaguzi kukosa mvuto kwa wananchi.

    Habari za uchaguzi Wakuu! Nafikiri siku ya Leo imeenda kinyuma na lengo lilivyopangwa. Serikali iliiweka siku ya Leo kama siku ya mapumziko ili kutoa fursa kwa watu kupata muda wa kwenda kupiga Kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Lengo lilikuwa zuri lakini likapoteza maana baada ya...
  20. JF Member

    Ni Mimi tu ndio naona na kusikia! Kampeni za CCM hazina Mvuto

    Ninajaribu kudadisi kuona namna CCM inavyoendesha kampeni zake. Naona hazina Mvuto. Nimejaribu kuangalia kwenye magroup ya wasapu kimya kingi. Nafatilia mtaani wengi wanasubiri kupewa chochote.. wafia chama wamepungua Sana. CCM embu changamkeni Ili kampeni zichangamke. Au komba kakosa...
Back
Top Bottom