Tujenge utaratibu wa kuhifadhi maji ya mvua

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
Maji ya mvua yanapatikana bure na kama yanatumika vizuri tunaweza kupunguza matumizi ya reservoirs. Ukihifadhi maji haya kwa matumizi ya binadamu inabidi kuyaongezea baadhi ya kemikali.

Maji ya mvua yanaweza kutumika kwa sewage system ya nyumba nzima. Unachimba shimo na kulisakafia kama shimo la maji. Ukiongeza na Simtank unaweza kuhifadhi lita 50,000 kipindi cha masika. Haya yanaweza kutumika mwaka mzima.

Chlorine Sterilisation
  1. The initial dosage to be a minimum of 5 milligrams of chlorine per litre of rainwater to be treated.
  2. A concentration of 0.5 milligrams of chlorine for every 1 litre of rainwater must be maintained, 30 minutes after the initial dose.

1574228228262.jpeg


1574228315327.jpeg


1574229558569.jpeg
 
Maji ya mvua haya ambayo ikiyahifadhi kwenye ndoo baada ya siku mbili yanateleza na vidudu juu
 
Nilimtembelea ndugu mmoja Dar, amechimba kisima na ana Simtanks aliniambia ameshaachana na DAWASCO huwa ana nunua maji ya uhai kwa kunywa tu.
Ni njia nzuri ya jutunza mazingira pia, ametengeneza tanki la ukubwa gani? Kwakweli maji ya mvua ni mengi tu tukiweza kuyahifadhi hata kwa garden yanafaa.
 
Uzi huu unaonyesha watu wengi ni Wakazi wa mijini,
Vijiji vingi hivi visima vya mvua ni kawaida na Kama ikitokea mvua zikanyesha vizuri mnakaa mwaka mzima bila shida ya maji, labda kwenye ukame ndio mtahangaika.

Wanakunywa, wanapikia, wanafanyia shughuli zote za nyumbani.
 
Back
Top Bottom