UPDATES: Mliowahi mjini tujuzeni Jangwani panapitika na mvua hii?

Jibu litakalopatikana litasaidia wengi mwenye taarifa please asipite bila kuitoa
 
Ndio ujue je daraja la baharini salenda ni muhimu kuliko jagwani au hii nchi haina vipaumbele?

Nchi masikini zinaendelea kua masikini kwa sababu pia hawana vipaumbele, hutekeleza miradi kwa ajili ya sifa ambayo hua haina faida.

Morogoro road ndio barabara kubwa kuliko zote inayopeleka watu wengi mjini na kuwatoa ila angalia haipewi kipaumbele hasa eneo la jangwani.

Unashangaa tunajenga daraja ubungo liwawahishe watu mjini kisha wakifika jangwani hakuna njia ya kwenda mjini, ni vituko.

Vicious circle of poverty haitatuondoka miaka na miaka.
 
Wakazi wa Dar inabidii waanze kumiliki mitumbwi kipindi cha mvua...karibuni Dodoma lakini washamba tupo huku
 
Msaada kwenye tuta Tafadhali.

Hali ya barabara ikoje kwa wale mliobahatika kufika mjini mapema.........nipo Madale naelekea kariakoo.

Mungu wa mbinguni awabariki sana
Mungu wa Chato ndiye mkuu kuliko Mungu wa Mbinguni na Israel!
 
Back
Top Bottom