TARURA na halmashauri huu wakati wa jua utumieni kusawazisha barabara na stendi mbovu; msisubiri mvua

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,409
2,000
Maeneo mengi sana Tarura na manispaa huwa wahangaika kutia na kusambaza vifusi wakati wa mvua jambo linalozalisha tope!

Niwaombe sasa nia ileile ya kufukia mashimo msimu wa mvua, Tumieni wakati huu wa jua kusawazisha na kufukia mashimo korofi italeta maana kuliko kusubiri mvua zianze!

Waziri wa ujenzi usilale usingizi wa pono, Wakumbushe watu wako majukumu ikiwepo kuziba mashimo na kuondoa miti iliyohatalini kuangukia barabarani.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
11,235
2,000
Tuwekewe namba za watu wa tarura kila mkoa tuwaelekeze barabara mbovu za kitaa.
 
Baikije

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
567
998
Hii nchi bhana, Waziri analia na tarula, Mkuu wa mkoa analia na tarula, DC analia na tarula, mbunge analia na tarula, diwani analia na tarula, mwenyekiti analia na tarula, mtendaji analia na tarula, balozi analia na tarula sisi wananchi tufanye nini sasa kama mmeunda chombo na hakifanyi ipasavyo mnataka tuandamane kuwaondoa tarula ama nini?
 
Kisingizio hawana bajeti! Sasa kama ni hivo , siwafukuke kaz baadhi ya watendaji wao ili hela wanalipwa ijaze mafuta greda lichonge barabara za mitaani kila mwezi, isitoshe kila kata huwa inapokea 1.5m kwa mwez kwa ajili ya maendeleo ya mtaa.
 
Hawa tarula ni kama kagenge fulani ka upigaji maana kila ukiwafata wao ni bajeti bado yaani ni kama hawajui ofisini wapo kufanya nini, na wanasiasa wanadandia humo humo kwenye kampeni eti tutawajengea barabara za mtaa wakishapita ukiwahoji eti sio kazi yetu ni kazi ya tarula sjui madudu gani
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
53,859
2,000
Hii nchi bhana, Waziri analia na tarula, Mkuu wa mkoa analia na tarula, DC analia na tarula, mbunge analia na tarula, diwani analia na tarula, mwenyekiti analia na tarula, mtendaji analia na tarula, balozi analia na tarula sisi wananchi tufanye nini sasa kama mmeunda chombo na hakifanyi ipasavyo mnataka tuandamane kuwaondoa tarula ama nini?
* TARURA
 
Teamanaconda

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
520
500
Hasa Tarura wilaya ya Ubungo,Yani kuna mkandarasi kila akija kurebisha daraja,mvua ikija linameguka,inabidi tupate namba za mameneja wa Tarura wilaya ya Ubungo.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom