mvua

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UAE watamba na teknolojia ya kupanda mawingu ili kuongeza kiwango cha mvua kwa mwaka

    Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua. Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hali ya Hewa: TMA yatoa angalizo la upungufu wa mvua za vuli nchini

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kutakuwa na upungufu wa mvua katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza Oktoba hadi Desemba 2022, zitakazosababisha kupungua kwa unyevunyevu katika udongo hivyo kuleta athari mbalimbali. Imeelezwa kutakuwa na vipindi virefu vya ukame na...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

    Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi..... Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson, a...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Teknolojia: Niger kuanza kutengeneza mvua kukabiliana na ukame

    TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa vyakula baada ya kukabiliwa na vipindi virefu vya ukame Mkuu wa taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wachina watumia mvua ya Lowassa kupambana na Ukame

    Wataalamu wa kichina kwenye jimbo la Hubei huko China wakirusha Roketi yenye Kemikali zenye uwezo wa kusababisha mawingu ya Mvua kwa lengo la kuchochea unyeshaji wa mvua kutokana na ukame unaoyakabili maeneo mengi ya nchi hiyo. Tukio hilo limefanywa tarehe 16/08/2022. Mwaka 2007 Lowassa...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Tunalalmika njaa, ukame, ukosefu wa mvua ili hali Mkaa unapatikana wa kutosha, kuni zipo tele, Yadi zimejaa mbao za kila aina.

    Imeandikwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...na ndio kinachoendelea kwa sasa. Kuna wakati ukijaribu ku imagine huyu Mungu anatuchukuliaje ni ngumu sana kupata jibu. Tunachojaribu kumfanyia Mungu kwa sasa ni kama Mtu usikie kilio kikali cha Mtoto ndani alafu ukiingia unamkuta kaweka...
  7. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Hivi rangi za upinde wa mvua (rainbow) ndio tumenyang'anywa hivyo

    Yaani sasa ukitumia rangi za upinde wa mvua unahesabika upande wa pili. Dah! Hawa jamaa bwana. Kwenye biblia tunasoma "Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi. Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, nami nitalikumbuka...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Urusi sasa amecharuka, ni mvua za makombora kaskazini na magharibi ya Ukraine. Boris amekubali yaishe

    Kuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea. Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tafuta nyumba au kiwanja kipindi cha mvua

    Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
  10. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Ombeni mvua wakati wa masika

    "Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA afanyaye umeme, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi kondeni", Zek 10:1 SUV. Maelezo ya kina kuhusu andiko hili tunayapata zaidi kwenye kitabu cha Hosea, tutaweza kufahamu zaidi kile ambacho nabii Zekaria alikiimaanisha hapa...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kudadeki Simba wametuwahi, mvua inanyesha mida hii

    Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi. Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua. Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Arumeru: Wandishi wa habari wapigwa mawe na mizimu na kutimka mbio. Mawe hayajulikani yanatoka wapi. Yanamwagika kama mvua

    Waandishi wa Habari mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Wilayani Arumeru, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na mizimu.
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Usafi waanza kufanyika Soko la Kawe baada ya uchafu kukithiri kutokana na mvua

    Baada ya Jamii Forums kuripoti kuhusu Soko la Kawe kuwa chafu kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni Jijini Dar es Salaam, mamlaka zimeanza kuchukua hatua ya kufanya usafi sokoni hapo. Barabara ya kuelekea sokoni hapo imeanza kufanyiwa marekebisho ya kuwekewa vifusi, ambapo awali kulikuwa...
  14. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kama tunaamini katika kusimamisha mvua, kwanini hatukuamini katika kusimamisha covid-19?

    Mambo ya imani siku zote hayapingiki. Inawezakana ni kweli kuna wenye uwezo wa kusimamisha mvua na pia wapo wanaoamini ktk kuondoa magonjwa kwa njia ya imani. Je, kumpinga mtu katika kile anachoamini ni sawa? Je, Watanzania wote wanaamini suala la kuzuia mvua isinyeshe? Natamani kupata majibu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni Mvua ya Babu tumuombeni aipunguze, ila kama ni ya Mungu basi Magodoro ya Kunyonya Maji kwa Mkapa Kesho yatayarishwe

    Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu. Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

    Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania. Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
  17. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Yoweri Museveni kuwa Rais huko Uganda? Mvua huanza na mawingu

    Hello Banzukulu, I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics. Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa jeshi la Uganda kwa mtoto wa Rais Museveni wa Uganda, ndugu Lt. Gen Muhoozi, si ajabu si mshituko...
  18. Papaa007

    JamiiForums Tanzania Mvua za msimu huu (Februari, 2022) hazieleweki

    Habarini wanandugu wa JamiiForums nimekuwa nizifwatilia mvua za msimu huu kama mjuavyo kwa ajili ya kilimo lakini inashangaza sana kwani hazieleweki. Kama huku Arusha yapata siku 4 mvua haijanyeshi sasa na jua lipo lali kama kawaida je ndo mvua za masika zimeisha? Ama hapo baadae mwez wa 3...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Radi yajeruhi watu wawili wakitumia simu wakati mvua inanyesha

    Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao. RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tanga tumepata mvua. Huko kwingine vipi?

    Tanga: Ukame ulikuwa unatishia maisha ya watu namifugo. Sasa hivi at 8. 30 inanyesha mvua kubwa ya kutosha kwa leo. Radi, ngurumo kama kawa. Hatujui kma itaendelea au ndiyo inachombeza tu. Huko kwenu vipi?
Back
Top Bottom