Mvua Dar; Jangwani panapitika leo?

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
18,843
48,870
Habari wakazi wa Dar es Salaam na viwanja vyake.

Nina safari ya kwenda mjini Posta leo. Hii mvua ilivyonyesha hii asubuhi Jangwani panapitika kweli? Kwa walioenda mjini kupitia njia ya Morogoro naomba mrejesho.

Shukrani.
 
Midamida ndiyo panaweza kuwa shida maana maji yanayotoka gombs, Kinyerezi nk kuja huko bado yapo njiani yakifika ndiyo balaa

Tz shamba la bibi kamvua kadogo tunashindwa kukacontrol? Tunawaacha kina Bashiru wanapiga Bilioni 180 wakati tungeweza kuvuna maji na kutengeneza Dams tukazalisha umeme pia ,wajaribu kusoma project ya TVA -Tennessee Valley Authority.
 
Izo pesa mnauthibitisho gani amepiga? No pesa nyingi sana lazima mamlaka ingesema nani anamuogopa?
 
Hela zimepigwa halafu.

Kimyaaaah
 
Izo pesa mnauthibitisho gani amepiga? No pesa nyingi sana lazima mamlaka ingesema nani anamuogopa?

Pdf ni kubwa kidogo mkuu ila gogoki2014 amejaribu kudokoa vitu vichache kwenye ripoti ya BOT ,180b zimepigwa na watu wawili wapo ngome ila inabidi wengine walindwe maana pdf zao ni kubwa kidogo.
 
Back
Top Bottom