Kama hii ni Mvua ya Babu tumuombeni aipunguze, ila kama ni ya Mungu basi Magodoro ya Kunyonya Maji kwa Mkapa Kesho yatayarishwe

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
 
Hivi wewe kujitapa kote ni msomi ni kwamba hata rain season za nchini kwako huzijui?

Hata kama huzijui kwamba hata kumbukumbu tu kwamba kipindi cha pasaka mvua huwa zinanyesha hili nalo hulijui?
 
Huyo Simba kwenye hilo kombe anamuwakilisha Mo?

Kama ikitokea hata mara moja, sababu ya wao kucheza huko ikatajwa Tanzania, basi wasonge tu mbele, baraka zote za nchi wanazo!
 
Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.

Sawa kwa sifa hii uliyonayo kwanzia leo nitakuita shani
 
Back
Top Bottom