mvua

  1. Zogolo1550

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mvua Morogoro: Shule zilizo maeneo hatarishi zatakiwa kufungwa kwa muda

    Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia kunyesha kwa mvua kubwa Mkoani Morogoro kuanzia usiku wa kuamkia Januari 13, 2022 hasa katika maeneo ya Kihonda, Mafisa na Soko Kuu la Kingalu. Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amesema hakuna taarifa ya kifo ila kuna uharibifu wa mali na kuwa shule...
  3. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

    Aisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea. Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao. Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu...
  4. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa kunyesha Tanzania

    Mamlaka ya Hali Tanzania, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter imesema kuna mvua kubwa zitanyesha Tanzania hivi karibuni. Tujiandae.
  5. complex31

    JamiiForums Tanzania Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mvua yaua watatu Arusha, Polisi watoa Tahadhari

    Watu watatu wamefariki kwa kusombwa na maji ya mvua mkoani Arusha, kutokana na mvua zilizoanza kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Watu hao, wamefariki katika Wilaya za Monduli na Longido, ambapo wawili ni wanafunzi akiwemo aliyetarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza siku chache...
  7. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Wapi mvua haijaisha hapa Tanzania hadi sasa

    Habari wana jf. Kamtizamo tu binafsi, inaonekana kwa namna hizi mvua zinavonyesha 2023 inaezakuwa na kaneema kidogo hasa kwenye kilimo, watu wakalima na Wakavuna sana tu japo bei ya Chakula ishuke kidogo.
  8. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango, mvua zinazonyesha zisije kuwasahaulisha utekelezaji wa makubaliano na Wahariri ili kusalimisha uharibifu kwenye Mto Ruaha Mkuu

    Saalamu, Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa. Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh mpango taarifa za kiuchunguzi juu ya chanzo cha mto ruaha mkuu kukauka kwani mpaka siku wanafanya kile...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadharisha mvua kubwa mikoa 11 Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinatarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa leo Desemba 27, 2022 na TMA...
  10. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa angalizo ya mvua kubwa!

  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam mechi ya Azam na Yanga itapigika kweli kwa Mkapa?

    Kama vile naona Uwanja utafurika Maji. Mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam Kitapigika kweli leo kwa Mkapa Azam na Yanga?
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tulianza na Freemason sasa tunaendelea na upinde wa mvua

    Kama Matahira ... Huwa hatuna tunalojua. Tunapewa na kupokea na kushika kidedea. Upinde wa Mvua upo miaka mingi kabla hata Ushoga hauja wa maarufu. Leo ukiona mchoro au picha ya upinde wa mvua mtu anakwambia ni ushoga. Mimi nimekulia Tanga kuna mashoga toka miaka ya 80 huko hata hawakuwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yasema imepunguza tatizo la upungufu wa umeme lakini mvua hazijatosha kuongeza uzalishaji

    TANESCO yataja jitihada zinazoendelea kufanyika kukabiliana na hali ya upungufu wa umeme.
  14. R

    JamiiForums Tanzania TMA tujulishe mwelekeo wa mvua za Disemba-Januari kama tunaweza kuongeza kulima na kupanda

    Kuna mvua zimenyesha juzi sehemu nyingi. Je, mvua hizi zitaendelea mpaka January tujiaminishe tupanda au tuache? Kama tunapanda, tupande mazao gani? Miti ya kuhifadhi ardhi as one of the conditions for grant of a right of occupancy, mvua zitatosha kuhimili kushika?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hali ya umeme yawa ya matumaini baada ya juhudi za Serikali pamoja na mvua kuanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini

    Ndugu zangu kwa Sasa Hali ya umeme inarejea katika Hali yake ya kawaida,kwa Sasa shughuli za kiuchumi zinazotegemea umeme zinakwenda vyema, Mioyo ya wananchi wajasiriamali na wafanyabiashara imeanza kuwa na Tabasamu na matumaini ya kufanya kazi muda wote,Taa ya Matumaini inawaka mioyoni mwa watu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zikiendelea kunyesha katika mabwawa, changamoto ya upungufu wa umeme itapungua

    Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme . Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
  17. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Unapolalamika mgao wa umeme jiulize wewe una miti mingapi kwako ya kuvuta mvua ili mito isikauke na kupata umeme?

    Ifike mahali sio kitu Ni kulaumu Serikali na kusahau kwamba wewe ndie muuaji maarufu wa miti na zaidi unakuta kwako hauna mti hata mmoja. Tubadilike mama Samia haleti mvua bali tutunze mazingira tutunze asili sio kuangamiza miti na kuamini kuwa ni uchafu.
  18. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafahamu changamoto ya umeme nchini, tuombe mvua zinyeshe. Hata yeye anaumia

    Ndugu zangu kumekuwa na malalamiko juu ya changamoto ya umeme Hapa Nchini, Hali iliyosababishwa kwa kiasi kikubwa na Hali ya ukame iliyoikumba nchi yetu na kupelekea kupungua kwa kina Cha maji katika mabwawa yetu ya kuzalishia umeme, Sote tunafahamu umuhimu wa umeme katika uchumi wetu, umuhimu...
  20. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17/11/22 nitaongoza Ibada ya kuombea mvua. Wote mnakaribishwa

    Heshima kwenu wanajamvi. Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT. Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa. Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe...
Back
Top Bottom