Kama tunaamini katika kusimamisha mvua, kwanini hatukuamini katika kusimamisha covid-19?

Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
1,421
4,729
Mambo ya imani siku zote hayapingiki. Inawezakana ni kweli kuna wenye uwezo wa kusimamisha mvua na pia wapo wanaoamini ktk kuondoa magonjwa kwa njia ya imani.

Je, kumpinga mtu katika kile anachoamini ni sawa? Je, Watanzania wote wanaamini suala la kuzuia mvua isinyeshe?

Natamani kupata majibu ya hilo swali; hasa baada ya mama kukiri kwamba watazuia mvua isinyeshe kwa ajili ya watalii. Maneno yake siwezi kuyachukulia kama mzaha kwa kuwa yeye ni kiongozi wa taifa.

Anapaswa kujua namna ya kujibu hoja zinazohusu taifa. Na Kila kauli yake ina nguvu!

Mambo ya imani siku zote hayapingiki. Inawezakana ni kweli kuna wenye uwezo wa kusimamisha mvua na pia wapo wanaoamini ktk kuondoa magonjwa kwa njia ya imani.
Je, kumpinga mtu katika kile anachoamini ni sawa? Je,watanzania wote wanaamini suala la kuzuia mvua isinyeshe?

While I am not a mindreader, I believe she was just joking!
 
Back
Top Bottom