Mikoa ya Kaskazini tumeanza kupata mvua tangu jana

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,252
Jambo la kushukuru Mungu sana maana hali ilikuwa tete sana.

Mbali ni vifo vingi vya mifugo pia hata vyanzo vingi vya maji vilikuwa vishaanza kukauka.
Hatari kwa kibinadamu pia ilikuwa inatunyemelea maana hata vifo vingetokea kwanza kutokana na jua kuwa kali na pia ukosefu wa chakula.

Hii itakuwa pia furaha kwa wafugaji na wakulima

Ardhi ilikuwa kavu sana lakini jana na leo tumeona mvua
 
Back
Top Bottom