Morogoro: Mvua Kubwa Inaendelea Kunyesha

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,857
33,259
Mungu ni mwema, ule ukame uliotutia hofu kwamba huenda mwaka huu kukawa na njaa imetoweka, kuna mvua kubwa sana inanyesha ikiambatana na radi, japo hofu ni kwa wale waliojenga mabondeni, usalama wao huenda ukawa mdogo sana, ilitokea siku chache zilizopita baadhi ya makazi ya watu yaliingiwa na maji na kusababisha taharuki.

Heri siku ya wapendanao
 
afadhali mvua kuliko ukame. Huku Jua kali degree 1200 oC😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
 
,
20220130_093611.jpg
 
Mungu ni mwema sana ,acha inyeshe tupate maji na mazao yavunwe kwa wingi, ila msiache kukinga maji
 
Back
Top Bottom