Kudadeki Simba wametuwahi, mvua inanyesha mida hii

Kwahiyo kunyesha kwa Mvua huku Jua linawaka ni ushahidi tosha kuwa Ndumba zimetoa majibu ya ushindi kwa kamati ya kina Gentamicin na Mzee Dalali !.

Sio mbaya maana Yanga si inasubiri akombe lingine la ubingwa. Kufurahi kwa zamu
 
Nimeambiwa kuna mvua kubwa huko Mwanza mda huu vipi Simba na Yanga wachezaji si wataanguka anguka au tutaliona soka la kiufundi? Je Mayele atatetema?
 
Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi.

Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua.

Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
Usiwe unakariri ujinga mkuu, mvua zinanyesha sehemu nyingi kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa ayo mengine ni ya kwako unavyotafsiri wewe matukio
 
Jana usiku nilitazama Friday Night Live ya East Africa TV akihojiwa Q Chief na aliambiwa atabari game ya Simba na Yanga akasema hawezi kutabiri mpaka aone hali ya hewa.
 
Back
Top Bottom