mvua

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mvua na Jua vya laana

    Kumekuwa na ukame mkubwa ambapo mvua zilikosa kabisa kunyesha. Sasa imeanza kunyesha. Watu wamepanda mahindi na mazao mengine. Kinachoonekana ni kuwa zinanyesha bila kukatika na hivyo kila mmea kuoza. Tunaomba mvua za kiasi si za laana Likija jua kila kitu kinakauka. Jua la laana! Nchi gani...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

    Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi Yajipanga Kufanya Matengenezo Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua na Kupunguza Foleni

    WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
  4. Heci

    JamiiForums Tanzania Athari za Mvua March 2024: Hali ikoje eneo ulipo?

    Tangu asubuhi kumekuwa na mvua kubwa ikinyesha jijini Dar es Salaam. Huu uzi ni kujulishana athari na matokeo ya mvua hizo. Je, ni barabara gani hazipitiki, tupite wapi? Wapi kuna mafuriko, na hatua gani tuchukue ili tuwe salama? Tuhabarishane sisi kwa sisi.
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

    Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha. Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Huko Peru mvua za elnino zimeleta homa ya Dengue

    The El Nino weather pattern has created ideal conditions for mosquitos to breed and transmit dengue fever. The viral infection can cause fever, nausea, vomiting, fatigue and body aches. Peru declared a health emergency in most parts of the country on Monday after a heat wave and heavy rains led...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Mwassa Asisitiza Wanufaika Kutendewa Haki - TCRS Wazindua Mradi wa Kusaidia Walioathiriwa na Mvua Kagera

    RC MWASSA ASISITIZA WANUFAIKA KUTENDEWA HAKI - TCRS WAZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WALIOTHIRIWA NA MVUA KAGERA Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezindua mradi wa kusaidia kaya 482 zilizoathiriwa na Mvua kubwa iliyonyesha Mwaka jana ikiamabatana na upepo mkali na kusababisha maafa makubwa kwa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aiagiza TANROADS kufanya tathmini ya maeneo yanayoathiriwa na mvua mara kwa mara

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS nchi nzima kuhakikisha wanabainisha na kufanya upembuzi yakinifu kwa maeneo yote ambayo yamekuwa yakiathiriwa na mvua mara kwa mara ili Serikali iweze kuyatafutia suluhisho la kudumu kwa pamoja. Agizo hilo limetolewa na...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Dubai wana kituo cha kusababisha mvua kwa kumwaga nchunvi kwa kutumia ndege.Sisi huku tukimtanguliza mungu na kununua V8 new model

    Yani sijui tuna kwama wapi yani ukikaona kandege kenyewe utazani kakupeleka watalii mbugani.yani wenzetu wasio na kitu kwenye ardhi wanajaribu kisicho kuwa kitu kuwa kitu. bado na kazia ma ubongo yetu yana tumia masanturi
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Barabara kuu ya Mangaka - Tunduru yafungwa kwa muda. Ni kutokana na mvua zinazonyesha

    Tunduru - Ruvuma Kutokana na mvua kubwa zinazonyesha ukanda wa Morogoro na Selous, daraja kubwa la Mto Muhuwesi lililoko hapa Tunduru limejaa maji hadi juu ya daraja na kwa hiyo tumechukua uamuzi wa haraka wa kufunga barabara kuu ya Mangaka - Tunduru Mjini kwa muda. Eneo la barabara...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania February mvua huwa zinazingua Tanzania kote

    Kama ni mfuatiliaji wa mwenendo wa mvua nchini utagundua mwezi wa pili kuna shida sana ya mvua za uhakika watu wengi naona wanashangaa mvua ku stop ghafla ila hii ni kawaida kabisa kwa mwezi wa pili. Mwezi wa pili mvua huwa Inakata na kama zitakuwepo basi za rasharasha.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Tunaendelea kusitisha safari za Treni kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha

    Dar es Salaam, Tarehe 30 Januari 2024 Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa linaendelea kusitisha huduma ya usafiri wa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Katavi, Kigoma na njia ya Kaskazini kuelekea mkoani Tanga...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA: Mvua za El-Nino kuendelea hadi Aprili 2024

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema bado kuna viashiria vya uwepo wa El-Nino hadi Aprili mwaka huu. El-nino ni mfumo wa hali ya hewa unaosababishwa na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki. Mwaka jana, TMA ilieleza kuwepo kwa El-Nino...
  15. haszu

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

    Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

    Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
  18. X men

    JamiiForums Tanzania Maji ya Mvua meusi

    Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni. Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka...
  19. excel

    JamiiForums Tanzania Wakati mvua zikiendelea kuutesa mkoa Dar, mkumbuke maji yanarudi mahala pake tu Serikali haina makosa

    Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes) Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili Kulikuwa na ziwa Tandale😅 Ziwa Mwananyamala😂 Ziwa Magomeni😅 Mto Sinza😅 Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nimepita sehemu nikakuta watu wanaomba Mungu kukemea mvua isinyeshe! Nimewashangaa sana

    Nimewaza sana leo! Yaani watu kabisa wanamuomba Mungu kukemea Mvua isinyeshe! Kwamba mvua inaleta uharibifu! Bahati mbaya kwenye hayo maombi kulikuwa na watu wazima, wazee hadi watoto wadogo! Sikatai wao kufanya maombi! Lakini kinachonitisha ni hao watoto watakuwa na mentality ya kukemea vitu...
Back
Top Bottom