Shughuli za kiuchumi Mwanza zimesimama kwa saa 6 kutokana na mvua kubwa na ubovu wa miundombinu. Serikali ikumbukeni Mwanza msiitumie kisiasa tu

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa.

Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza.

Najiuliza mvua hii ikiendelea mpaka mwezi Mei nini kitatokea?

Zinahitakika juhudi za dharula.

Leo siku usagi na mapumziko poleni wana Mwanza mvua kubwa.

Walio vilimani watafumgulia maji taka khaa
 
Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa.

Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza.

Najiuliza mvua hii ikiendelea mpaka mwezi Mei nini kitatokea?

Zinahitakika juhudi za dharula.

View attachment 2869968
Yule Baba yenu Mwendazake kwani hakuwajengea si mlimuita mwokozi vipi tena unaleta malalamiko? 😂😂

Akili ni nywele Kila mtu ana zake.Mimi.ndio ningekuwa wa huko Mwanza badala ya bil.700 plus kuzimwaga kwenye Daraja ningepiga lami zaidi ya km 500 Mwanza yote hiyo.

Tuliwaambia mtu wenu zilikuwa hazimtoshi na hajui namna ya kuwasaidia muwe mnawelewa.

Legacy ya hivyo inge make sense kuliko kadaraja kamoja.

Ila msiwaze Samia ameanza kuwafungulia Dunia Kuna zais ya km 30 za lami za mitaani via Tactic, Tarura na TanRoads zinajengwa.

Next year ndio zitakuwa nyingi
 
Kwani kuna kitu chochote serikali ya mboga mboga hua inafanya kwa usahihi wake kabisa 🤔🤔
 
imeshindikana pamoja na akina mbunge Mabula na Msukuma,RC Malima na Makalla, akina Makonda kupiga kelele kuhusu Miundo Mbinu zikiwemo barabara za fly over,njia nne kuingia mjini na jengo la kimataifa la uwanja wa ndege,nakubali inatumika kisiasa kipindi kikifika kuvusha watawala. Hali si hali kwa jiji kwa sasa.
 
Yule Baba yenu Mwendazake kwani hakuwajengea si mlimuita mwokozi vipi tena unaleta malalamiko? 😂😂

Akili ni nywele Kila mtu ana zake.Mimi.ndio ningekuwa wa huko Mwanza badala ya bil.700 plus kuzimwaga kwenye Daraja ningepiga lami zaidi ya km 500 Mwanza yote hiyo.

Tuliwaambia mtu wenu zilikuwa hazimtoshi na hajui namna ya kuwasaidia muwe mnawelewa.

Legacy ya hivyo inge make sense kuliko kadaraja kamoja.

Ila msiwaze Samia ameanza kuwafungulia Dunia Kuna zais ya km 30 za lami za mitaani via Tactic, Tarura na TanRoads zinajengwa.

Next year ndio zitakuwa nyingi

View: https://youtu.be/-3EcEl5sI94?si=JSz8WNHVEWGFD3iF
 
Mlipata prezdaa akafanya ushamba saii msubiri mvua zipo Kila mahali nakwingi hali nimbaya. Saii prezdaa niwawote hana ukanda jiongezeni
Waende kwenye Daraja pale Busisi 😂😂

Ukiwa na Rais ambae hana akili hayo ndio matokeo.Bil.700 unajenga Daraja la mapambo badala ya kujenga km 500 za lami kusaidia watu.
 
imeshindikana pamoja na akina mbunge Mabula na Msukuma,RC Malima na Makalla, akina Makonda kupiga kelele kuhusu Miundo Mbinu zikiwemo barabara za fly over,njia nne kuingia mjini na jengo la kimataifa la uwanja wa ndege,nakubali inatumika kisiasa kipindi kikifika kuvusha watawala. Hali si hali kwa jiji kwa sasa.
Kwa nini hawakuoiga awamu ya yule Rais wenu mliyetuambia anajenga sana? 🤣🤣🤣🤣
 
Yule Baba yenu Mwendazake kwani hakuwajengea si mlimuita mwokozi vipi tena unaleta malalamiko? 😂😂

Akili ni nywele Kila mtu ana zake.Mimi.ndio ningekuwa wa huko Mwanza badala ya bil.700 plus kuzimwaga kwenye Daraja ningepiga lami zaidi ya km 500 Mwanza yote hiyo.

Tuliwaambia mtu wenu zilikuwa hazimtoshi na hajui namna ya kuwasaidia muwe mnawelewa.

Legacy ya hivyo inge make sense kuliko kadaraja kamoja.

Ila msiwaze Samia ameanza kuwafungulia Dunia Kuna zais ya km 30 za lami za mitaani via Tactic, Tarura na TanRoads zinajengwa.

Next year ndio zitakuwa nyingi
Ubwabwa ni tatizo la kitaifa pia,hatua za haraka zichukuliwe
 
Back
Top Bottom