February mvua huwa zinazingua Tanzania kote

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,572
44,795
Kama ni mfuatiliaji wa mwenendo wa mvua nchini utagundua mwezi wa pili kuna shida sana ya mvua za uhakika watu wengi naona wanashangaa mvua ku stop ghafla ila hii ni kawaida kabisa kwa mwezi wa pili.

Mwezi wa pili mvua huwa Inakata na kama zitakuwepo basi za rasharasha.
 
Back
Top Bottom