X men
Member
- Dec 26, 2021
- 11
- 23
Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.
Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?