Dubai wana kituo cha kusababisha mvua kwa kumwaga nchunvi kwa kutumia ndege.Sisi huku tukimtanguliza mungu na kununua V8 new model

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,613
8,749
Yani sijui tuna kwama wapi yani ukikaona kandege kenyewe utazani kakupeleka watalii mbugani.yani wenzetu wasio na kitu kwenye ardhi wanajaribu kisicho kuwa kitu kuwa kitu.

bado na kazia ma ubongo yetu yana tumia masanturi
image.khaleejtimes.jpg
 
Kuna hii hali ya kuona akili zeti haziko sawa,na hata mwandishi uneandika hayo pia;

Naomba kujua,wewe kama wewe umefanya nini cha maana kwa kiwango cha eneo lako unaloishi?

Maana imekuwa hali ya kawaida mtu kusema wabongo hatuna uwezo,huku yeye akiwa anaamini mafaniko ni nyumba na gari tu;
umeshindwa kuuliza ccm wamekufanyia nini we na ukoo wako kwanza
 
Kuna hii hali ya kuona akili zeti haziko sawa,na hata mwandishi uneandika hayo pia;

Naomba kujua,wewe kama wewe umefanya nini cha maana kwa kiwango cha eneo lako unaloishi?

Maana imekuwa hali ya kawaida mtu kusema wabongo hatuna uwezo,huku yeye akiwa anaamini mafaniko ni nyumba na gari tu;
UNAMLAUMU HUYO KTK MAZINGIRA HAYA MAGUMU
 
Back
Top Bottom