Nani aliimba hii Ngoma?

Nani aliimba hii Ngoma?

Adamjuma94

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
3,287
Reaction score
4,749
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s

Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra

Sasa ningependa wakuu mnikumbushe jina huyu jamaa kwa sababu kitambo sijamuona na nilitaka kujikumbusha ngoma zake za kitambo.
 
Nakupenda mpenzi usiyependa chapa
Nakupenda mpenzi usiyependa dough
Simika shori wa kweli simika manzi wa kweliii

Dudu baya konki konki mastaa
 
20200519_104117.jpg

Dah asanten wakuu

Ni yeyeeee
 
Back
Top Bottom