Nafasi mbili kwa wasanii waimbaji (singers).

Mar 4, 2019
49
125
Tunahitaji wasanii wawili wenye vipaji vya uimbaji, waweze kufanya projects 4 kila mmoja. Projects hizo zitasimamiwa na sisi wenyewe kwa utayarishaji na usambazaji.

Utayarishaji wa muziki utafanywa na sisi, muimbaji atakuwa na jukumu la kiuandishi kwa kushirikiana na sisi.

Je atanufaikaje?
Mkataba wetu umelenga kunafaisha pande zote mbili;-
\\ Muimbaji na Mtayarishaji watakuwa wamiliki halali kwa masoko ya mtandao (wote watauza kwa asilimia 100%) mf. YouTube, Deezer, Apple Music, Tidal, Sportify na mingine.
\\ Shows: Muimbaji ataingiza 45% na mtayarishaji 55% kutokana na shows atakazofanya msanii.
\\ Endorsements: Muimbaji na mtayarishaji watapata mgawanyo wa 50/50.
\\ Mengine mengi atayapokea kwa mkataba.

Sifa zifuatazo zitaangaliwa

- 8 to 30 years (under 18 watatakiwa kuwa na msimamizi).

Umbali usiwe kikwazo, TUNAWEZA kufanya kwa njia za kimtandao.

Tuma mfano wa kazi zako na maombi kupitia: sajorsergiosjanic@gmail.com

vigezo na masharti kuzingatiwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom