Wasanii mnaofanya muziki mzuri endeleeni, msikatishwe tamaa na mashabiki njaa

Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
681
2,500
Nyie wasanii mnaofanya muziki mzuri, endeleeni hivyo hivyo.

Hapa Bongo kuna mashabiki wanyimbo za matusi, na mashabiki wa muziki mzuri.

Kwakua sasa hivi watu wanapenda muimbe kusifu ngono na pombe tu, msiwasikilize watu wachache walionyimwa hekima.

Tuko pamoja, tutawasapoti tu.

Muziki hauna mwenyewe Cheed, Killy, Zuchu, Mario, Bright, Kiba. Endeleeni kuimba muziki mzuri.

Muziki mzuri ndo tiba ya nchi kama hii ya kwanza kutoka chini kwa umasikini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom