Ladies tunaopenda Muziki wa Kongo tuonane kwa hii thread

roselina john

JF-Expert Member
Aug 17, 2017
758
942
Mara chache kukuta mwanamke anayependa music from Congo
But some of them have an interest,
Bolingo
1.Nzele- Madilu
2.Bandeko- Madulu
3.Ton Ton -Madilu
4.Sydiegi-Madilu
5.Associe - Fally Pupa
6.Faulta de Jon -Koffi
7.Papaa- Ngwasuma
8.Loi- Koffi


I real like Congo Music
 
Bievenito mama na joyce
Obebi si bolingo
Ekomi lokolola ndembo ya mokolo imana na vita
Bilima na mazembe, sanga balendi vs fc lipopo
 
Extra nawapenda sana. Hasa ule wimbo wao wa MATONGI!
Pia, nilitokea kuwapenda sana Mzee Bozi, Defao, Wale Zaiko Nkolomboka chini ya Nyoka longo. Pia, wale waliokuwa wanaitwa KIZAZI CHA KISASA (Wakati ule) jamaa wa Wenge. Ile Wenge iliyokamilika, sio hivi vipande vipande vya sasa. Pia, kuna yule Koffi, Luciana Demingongo na Zipompa yake, Bila kumsahau Aurus Mabele, Luchiana, Aziwa,Awilo, Sakis (mwamba asiye na kolasi kwenye nyimbo zake),nk.
Kwa kweli, vizazi hivyo, walikuwa wanajua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom