Muziki wa Msumbiji

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,555
19,428
Naona huu uko kama Mbaqanga wa Afrka ya Kusini; je hii ndiyo aina pekee ya Muziki huko Msumbiji?

 
Hujaeleweka
Nilikuwa sijui kama Musumbiji wana muziki wa aina gani; mwanzoni niliamini kuwa ni kama wa kwetu, lakini sasa naona kama muziki wao uko kwenye muziki wa kitamaduni wa Afrika ya Kusuini unaoitwa Mbaqanga. Ni muziki uliochezwa sana na Soul Brothers na Mahotella Queens. Kwa hiyo sijuia huwa wanapokea muziki wa kitanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom