muonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania "Hata muonekano wake tu unaonyesha", "hata sura yake..." ni kauli za hovyo sana zilizoshika mizizi.

    Hizi kauli za kumuangalia mtu na kusema hata muonekano wake tu unaonyesha yule ni kahaba, mdangaji, mwizi shoga, muuaji, ana roho mbaya n.k ni kauli za hovyo sana. Yani mtu anaweza kumuangalia tu mwanamke amevaa mini skirt, ana tatoo mkononi au shingoni, kichwani ana bleach na mguuni ana kikuku...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usipumbazwe na muonekano wa nje, mahusiano yanaendeshwa zaidi na mfanano wa ndani

    TANBIHI: Andiko hili ni kwa ajili ya watu wanaotaka wenzi kwa ajili ya kuishi hivyo kama lengo lako ni kula na kuacha huna uhusika wako hapa. Mvuto wa nje ni sehemu muhimu sana kwenye mahusiano kwa sababu itakufanya uwe na hisia dhidi ya umpendaye na pia utakuwa huru kutembea naye na...
  3. cacutee

    JamiiForums Tanzania Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

    Wakuu heshima zenu, Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam. Gari luxury kweli Gari linalofika kwa wakati Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo) Asanteni.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu (Mita 133) katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara

    Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro. Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds Construction Company - RCC ya Nigeria na...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimepunguza Kasi ya Kupumbazwa na Muonekano wa Wanawake warembo (PisiKali)

    Shalom, Ama kwa hakika hakuna zaidi ya Mungu, nimeteseka sana na kupambania PisiKali na kuzagamua, I thank God that I have able to maximally refrain from lack of self control sexually. Kwa sasa nakula vizuri bia kidogo, wine full kabati, matunda, misosi bomba. Nikiita shoo nakamua mwanzo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Trends za muonekano zinavyowatesa wanawake enzi na enzi

    Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati. Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya. Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini muonekano wa jengo Kanisa Katoliki Salasala uko tofauti na unafanana na makanisa ya KKKT?

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita. Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

    Shalom, Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc. Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini. Ni hayo tu Wadiz
  9. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kati ya muonekano wako na miaka yako nani amezeeka?

    HOW OLD ARE YOU? (UNA MIAKA MINGAPI?) Katika somo hili fupi tunajifunza jinsi ya kuuliza umri wa mtu Tuanze ...... Kuuliza umri wa mtu huwa tunasema: How old are you? Tamka ‘HAU OULD A YUU? – Una miaka mingapi? Kwenye kujibu huwa tunasema I’m ………… (unataja miaka yako) ikifuatiwa na maneno...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Jaribisha kuongeza hivi vitu vitatu (3), kubadirisha muonekano wa Sebule au Chumba chako!

    Wakuu, kwema? Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa room yako. 1. Picha za Ukutani Hii ndio urembo wa sebule wa bei ndogo kabisa. Kutegemeana na...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

    Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye...
  12. Job Richard

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

    Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki. Hii itafanya watu wakifika...
  14. NYANOHA

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye mandhari nzuri, muonekano safi na utunzaji wa mazingira

    Tumekua tukitamani na sisi nchi yetu iwe kama nchi za ulaya kimuonekano, kwani zina nuonekano mvuri, mandhari nzuri na mazingira safi, hata sisi tunaweza kuifanya Tanzania yetu ionekane kama nchi hizo. Kwa ushirikiano wa serikali, wawekezaji na jamii nzima kupitia sera zenye maono na...
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  16. R

    JamiiForums Tanzania Huu muonekano wa neno GOOGLE leo una maana gani?

    Hii ni kitu gani?
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo muonekano wa soko jipya la Kariakoo

  18. African businesses

    JamiiForums Tanzania Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

    Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana...
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Sababu rahisi zilizofanya nikaacha kuwaoa hawa wadada wazuri kwa muonekano

    Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja. Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na kupendeza. Nikaona huyu akili hana. Nikasonga mbele. Ladies, wanaume tunapotaka kuoa tunakuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kupendwa au kuchukiwa na watu kunatokana imani za giza au muonekano wa mtu?

    Namshukuru mwenyezimungu mwingi WA kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa pia nawasalimu wote ambao tupo kwenye jukwaa hili. Kwanza kabisa naomba niseme wazi kwamba Mimi ni miongoni mwa watu ninaojihisi nachukiwa sana katika maisha yangu, nimekuwa napitia changamoto za...
Back
Top Bottom