Habarini
Huu ni ukweli mchungu ambao wadada na wakaka wengi wanashindwa kusema, wanaume wengi wetu sisi tuna vitambi kama tumebeba mimba, vimbaumbau, mwili mmoja rangi mbili, ngozi ya mwili kama ya mamba, meno kama foleni za madumu, halafu tunategemea tupate pisi kali
Asiwadanganye mtu uzuri...
Kuna watu wanamiili mikubwa
Muonekano hamna
Elimu hamna
Nawao wanagombania kazi za restaurant, supermarket,dukan,sheli,
Sasa endelea kuchagua sana kazi wakati waajili wanataka watu wanaojua wao watawaongezea thamani ya duka kwa muonekano
Wewe mwenzangu namm mwenye sifa hizo hapo juu usichague...
Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa...
Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja.
Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na...
Wakuu kwema?
Naomba kujua, Ni Maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?
Dawa hizi kama sikosei zinalowekwa kwenye nguo kisha zinarudi katika hali yake.
Ni hayo tu wakuu. Ahsanteni
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:
• Polisi: Tunawashikilia Niffer...
Wataalamu wa Subaru.
Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500!
Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo, especially kwa hii gen 1.
Kama kuna mtu amewahi kuimiliki ebu atoe ushirikiano, kuna mdau anaitaka.
Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana.
Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
Wakuu,
Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.
Shida yenu ni nini kwani? Nani...
"Maybe am stupid, but am not gay"
Sky Eclat
Leejay49
Depal
Hannah
FaizaFoxy
Hornet
Miss Natafuta
Mahondaw
Money Penny
Midekoo
To yeye
Bantu Lady
Donatila
Ms R
SweetyCandy
Unique Flower
Amehlo
Nifah
Numbisa
Saint Anne
trudie
Lovelovie
binti kiziwi...
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.
Na huu ndio muonekano wake ndani
Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.
Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbali
Wadau wengine wanadai...
Honda nao hawajachelewa party ya EV, tushaona Honda Prologue, N-VAN e na Ye Series EV, sasa wameleta all new 0 Series Saloon.
Kwa sasa wameitangaza tu prototype, mass production haijaanza ila soon itaanza.
Itakua na Level 3 ADAS, air suspension, na mazaga kibao.
Kilichovutia wengi zaidi ni...
Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko.
Source: science.nasa.gov
Wale wahenga wenzangu mtakuwa mnamkumbuka huyu mwamba coz alitupa burudani wakati wa utoto wetu!Huu ndiyo muonekano wake wa sasa akiwa na umri wa miaka 70! Wakati ni ukuta!
Muonekano wa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal Keita Balde, baada ya kuacha kujichubua na kurudi kwenye rangi yake ya asili.
Pia, soma: Naby Keita mchezaji wa mpira zamani liverpool kasimamishwa kucheza mpira kwa kiburi
Hii ni simu yangu ya samsung, nimeifanyia customization kali sana kuanzia wallpaper, icon, renaming nk
Ukicheki hapo juu ni scree ya simu yangu ilivyo...prety cool isn't it guys?
Hap chini sasa ndio app zinavyo kuwa
Una rename app na icon yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.