muonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya juu ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi

    Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa mahojiano ya kazi. Unahitaji kuonyesha mwajiri kwamba unaweza kuvaa kwa hafla rasmi. Kwa...
  2. Churchboy

    JamiiForums Tanzania Namna yakubadilisha muonekano wako(To look in really men in LEATHER Jacket)

    Habar za wakat uu mim ni mshaur wa maswala mazima ya fashion and life style leo napenda kuongelea leather jacket iz ni jacket ambazo kwa mwanaume yoyote kwenye collection yanguo zako nakushaur uwe hata na moja leather jacket kwa maeneo ya Dar kwa sabu mara nying huwa nijoto umaweza ukawa unavaa...
  3. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Ni zipi tovuti za america na ulaya zenye muonekano mzuri, na language ipi imetumika?

    Habari zenu wakuu wa mambo! Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara, Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa katika uundwaji wa tovuti hizo. NATANGULIZA SHUKRANI.
  4. Mr Excel

    JamiiForums Tanzania SoC01 Muonekano hutengeneza uwezekano

    Maisha ya mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na muonekano wa kila siku anaojitahidi kuutengeneza katika mazingira yanayomzunguka. Je, muonekano ni nini? Uwezekano ni nini? Kanuni hii ni siri kubwa iliyo sheheni vipengele muhimu sana vyenye siri ya mafanikio. Muonekano ni taswira ya nje jinsi...
  5. spidernyoka

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa mtu sio tabia

    Habari wanajamvi Kwa utafiti mdogo niliofanya watu wengi wana mazoea ya kuhusisha muonekano wa mtu na baadhi ya sifa ambazo hazihusiani mfano ujasiri roho ngumu muda mwingine na ukakamavu yani ukiwa na sura ya kazi ni nongwa. Unaweza ukadhani ukiwa na muonekano mzuri umepona lakini ukiwa na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Aina ya mavazi yenye muonekano mzuri ukiwa kazini katika kipindi cha mvua

    Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto...
  7. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Mto wenye muonekano halisi wa sura ya mwanamke

    Ni mto Zambezi, unapatikana ndani ya nchi ya Zambia.[emoji179]
  8. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muonekano na tabia za mwanamke zitaamua aina ya mwanaume wa kumtongoza

    UKIONA wanaokutongoza wote wamenyoa viduku[emoji64], wana mabrichi kichwani, wavaa milegezo na suruali zilizotoboka magotini.... Dada angu ujue tu Safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!! Wanaume wanaokutongoza wanatafsiri muonekano wako... Ndio mana hutongozwi na husband material!! Unafuatwa na...
  9. Meshacky Allyson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi muonekano, sura na shape zilivyowaponza wengi na kupata wapenzi ambao wanakuja kujutia

    Hi Wanajamii, Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa ..[emoji24] . Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi...
  10. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa Mbezi Luis - Dar

    Maradi huo unatarajiwa kugharimu kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 50.9 mpaka kukamilika kwake Hata hivyo Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jaffo ametaka apewe taarifa kuhusu mpango wa ujenzi ndani ya siku 7 Endapo Halmashauri ya Ubungo itashindwa kufanya hivyo fedha hizo zitapelelwa...
  11. Majs

    JamiiForums Tanzania Hongereni TBC kwa kuboresha muonekano

    Habari waungwana, Binafsi huwa naamini TBC 1 na TBC Taifa huwa na vipindi vingi vizuri ukiacha habari na baadhi ya vipindi vya kisiasa ambayo bado inajadilika lakini pia kuwa chombo cha serikali ni rahisi kuwa upande uliopo kwani sehemu nyingi duniani chombo cha habari cha taifa(Serikali) huwa...
Back
Top Bottom