Muonekano mpya wa Windows 11 23hr

Muonekano mpya wa Windows 11 23hr

Bukayo Saka

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
320
Reaction score
491
Muonekano mpya baada ya kufanya update ya windows 11 pro kwenda 23h2

windows.jpg
 
update ni haifiki gb kama ulikua windows 11 tayari ila image yake gb 5.6
Jana niliupdate kwa WIFI ya bure pale Delta Marrion Hotel lakini mbona haina changes yoyote? Nilitakiwa nifanyaje ili window ibadilike na ionekane kama hiyo yako?
 
Back
Top Bottom