https://youtu.be/h0_F13LspEI?si=Fb9vd3ROVGTv_rC2
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Nakumbuka niliwahi kwenda kituo cha polisi kwa kosa flani hivi dogo tu ila ghafla likakuzwa sana ionekane mimi ni muhalifu mkubwa, ni siku niliyojifunza waweza kuumwa kichwa usiku ukakamatwa kwa uzururaji ila polisi wakaikuza kesi iwe unachorea ramani majambazi, sasa kule kituoni huwa wanaandika...
Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.
Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha kuendeleza harakati za utoaji wa elimu, kwani tangu ilipopatwa na maporomoko yaliyotokana na mvua kubwa...
Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii.
Daima mbele nyuma mwiko...
Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz.
Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza muonekano mzuri wa tovuti kwasasa tofauti na hapo awali, pia kama mdau wa TEHAMA ni kukufahamisha kuwa...
Pasina shaka ya aina yoyote ukisema umtaje role model wa wasichana wowote wanaopenda mapigano basi lazima utamtaja mwanamama Cynthia Rothrock ama Cynthia Rock kama anavyulikana na wengi.
Tangu enzi na enzi Cynthia amekuwa chachu ya wasichana wengi kutamani kujifunza sanaa ya mapigano kutokana...
Kwa wasiomfahamu, Young Lunya Ni Moja ya Rappers wenye flow kali hapa Bongo inayoambatana na unyamwezi mwingi.
Going to the point, Muonekano wa Young Lunya hivi karibuni umekuwa wa kutia Mashaka, Huenda Msanii huyu ana chembechembe za utumiaji wa madawa kutokana na kupoteza muonekano wake wa...
TCRA tunaomba mfanye jambo maana leo kuna takwimu nimezifuata lakini kiunga kuelekea kwenye communications statistics hakifikiki
Japo muonekano ni mzuri lakini tatizo hili ni kubwa kwa sisi watumiaji wa takwimu kutoka kwenu,
Hili nalo mkaliangalie
Uzi tayari
Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike.
Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi...
Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano wa gari lako kwa kuweka plate namba za kisasa za 3D. Hii ni fursa adimu ya kuongeza hadhi ya gari lako kwa gharama ndogo na muda mfupi tu.
Fanya gari lako kuwa tofauti na wengine, lipende gari lako.
Plate namba za 3D zinapatikana hata...
Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa.
Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri.
Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
Huenda kuna maarifa mengine tusiyoyajua ila muonekano wa Podium au jukwaa za kuhutumia viongozi hauko katika muonekano nadhifu zaidi kutokana kuwa kuweka material ya bati, ambazo zimeonekana kuwa na michubuko na mabonde mabonde.
Kwa utajiri wetu wa misitu na aina mbalimbali za miti tungeweza...
Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code, nina diploma ya uhandishi wa habari...
Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti..
Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo..
Baadhi ni hizi
Prado 70..
Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni 2LTE..!
Imeandikwa 3.0 turbo mlango wa nyuma hiyo ni 1KZ
Landcruiser Mkonga
Pua mbele.. 1VDFTV...
Muonekano wa dunia yetu ikiwa katika hali ya Crescent Earth ni sawa na ile hali inayotokeaga kwenye mwezi wetu baada ya sehemu fulani ya mwezi wetu kukosa mwanga wa jua.
Katika dunia yetu huwa kuna pande mbili ambapo huwa na utofauti moja huwa na mwanga na nyengine hukosa mwanga ambapo upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.