mungu

  1. Z

    Uongozi ni dhamana nzito kwa mwenye hofu ya Mungu

    Uongozi sio kitu cha kukimbilia wala kukihangaikia. Kwa mtu yeyote yule mwenye hofu na Imani kwa Mungu huwa hana tabia ya kukimbilia au kuhangaika kutafuta vyeo kwa sababu anajua kuwa cheo ni dhamana kubwa sio tu kwa Binaadamu mwezako bali Kubwa zaidi kwa Mungu. Hupaswi kufarahia sana unapo...
  2. B

    Bashiru alimkosea Mungu alipoteuliwa akakubali uteuzi, wanaoendelea kumteua wanamfanya azidi kutenda dhambi

    Kitendo Cha msomi na mdogo wangu Bashiru kukubali uteuzi wa KMK nikitendo chakumdhiaki Mungu lakini ni ishara ya kiongozi asiyefaa kupewa madaraka makubwa Wala madago kwani aamini na atendi kinachotoka moyoni mwake. Huyu ndugu yetu ametioka mbali na hii tabia, msimamo wake wakati wa katiba...
  3. Infantry Soldier

    Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana. Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania...
  4. Chagu wa Malunde

    Tundu Lissu shujaa anayelindwa na Mungu, silaha za kibinadamu hazikuweza kutoa uhai wake

    Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria. Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi...
  5. E

    Tumemuomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na Shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu

    Bado tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu. Tumemwomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu. Hakika Mungu amesikia kila kona ya dunia ikiomboleza. Ngoja tusubiri, majibu ya Bwana
  6. Nyankurungu2020

    Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

    Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
  7. K

    Swali kwa Wasioamini Mungu (Atheists) juu ya udhalimu wafanyao Watu kwa watu wengine

    Mjadala wa maadili hasa juu ya wema na uovu ni mjadala mkubwa na mzito sana kwa Wakana Mungu(Atheists) na unawasumbua sana, sijajua hawa tulio nao humu JF ila kwa wale wakubwa hasa kina Richard Dawkins na mfano wao, ndiyo maana leo hii nimekuja na hili la uovu na wema ili tupate kuwasikia...
  8. J

    Mchungaji Mastai: Nilimuunga mkono hayati Magufuli na sasa namuunga mkono Rais Samia, akitugeuka na mimi namgeuka

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani. Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka...
  9. FUTURE HUNTER

    MTAZAMO: Mungu bado hajalitupa taifa lake la Tanzania

    Nakumbuka mwaka 2012 nikiwa mkoa mmoja nyanda za juu kusini nilikuwa mwana maombi upande wa UKWATA.Kipindi Fulani wana maombi walikubaliana kufanya mfungo wa takribani siku 30 huku wakiomba Mungu awajibu mambo kadhaa. Mambo hayo ilijumuisha kubainisha harakati za kichawi kwenye ile shule, Mungu...
  10. sinza pazuri

    Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
  11. Peter Madukwa

    Kwaheri Magufuli; Kila la heri Mama Samia Hassani Suluhu, tunakuombea kwa Mungu uongozi uliotukuka

    Kwaheri Rais Magufuli, ndiyo lugha pekee iliyobaki tunayoweza kuitumia kwa sasa kwa kuwa hakuna namna ambayo tunaweza kuifanya kurudisha uhai wa mpendwa wetu, tumwombee apumzike kwa amani roho yake ilazwe mahali pema peponi, Amen. Mimi binafsi pamoja na mapungufu ya kibinadamu bado ninaamini...
  12. The Palm Tree

    Miziki isiyo ya maombolezo yapigwa marufuku Mwenge, Dar es Salaam

    Inasambaa sana na kwa kasi mitandaoni. Inasemekana imeandikwa na M/kiti wa mtaa wa Mwenge, Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni DSM. Uandishi wenyewe ni wa kibabe na usio na weledi hata chembe. Eti "...HII NI AMRI SIYO OMBI..." Hawa MATAGA hawataki kujifunza kwa hiari nadhani... Hawa ni wazi...
  13. Peter Madukwa

    PUMZI/UHAI: Kitu cha gharama kubwa zaidi kinachothibitisha ukuu wa MUNGU; Tuitumie vizuri hapa duniani

    Ndugu zangu watanzania kwa wanaoamini MUNGU na wasioamini Ni ukweli ulio wazi kuwa, kinachomfanya binadamu awe hai ni PUMZI yake, bila pumzi maana yake hakuna uhai Mtu kufa maana yake pumzi imefikia ukomo, hata wanasayansi pamoja na ujanja wao wote lakini wameshindwa kabisa kutengeneza pumzi...
  14. Ghost boss

    Mungu humpa kila mtu utajiri ila mtu huukataa

    Kuna habari inatembea sasa ikimwonesha mvuvi anayedaiwa kuvua samaki mwenye thamani ya pesa za Tanzania billion 6 na anadaiwa baada ya kumvua alimla na wanakijiji wenzie. Kwa haraka haraka hakuna anayeweza kumlaumu jamaa maana angejuaje kama thamani yake ndio hiyo. Ila swali nikuwa huyu jamaa...
  15. M

    Hizi ni dharau na je hakuna sheria ya kusimama upande wangu?

    Habari waungwana. Kuna jamaa alinipigia simu kuwa kuna kampuni inatafuta mtu wa nafasi fulani. Basi nikamwambia wape namba ya simu. Nikapigiwa simu kwamba nitume Cv, nikawatumia cv halafu ikawa kimya karibu mwezi basi mimi ikawa nimeipotezea tu hiyo kazi. Baadae nikapigiwa simu na kufanyiwa...
  16. H

    Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

    Hello, Ninatafuta Ajira
  17. N

    Ooh happy day: Oh lalalala siku nzuri sana hii, asante Mungu

    OOH HAPPY DAY ..lalalalalalalalalalaaaa lalalalalaaaa Siku imeanza vizuri sana Thank you Jesus kwako kila goti litapigwa,nakula double kicks za kutosha huku nikiangalia movie ya UNDERCOVER BROTHER OOOH HAPPY DAY..USHUKURIWE MUNGU
  18. Sky Eclat

    Hapa ndipo huwa ninautukuza utukufu wa Mwenyezi Mungu

    Unanunua viatu unavaa vinakwisha lakini hii ngozi iliyoumbwa na Mungu inaishi.
  19. Da Vinci XV

    MUNGU WA HEDHI: Hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukuta siku tatu

    MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule kwa sababu kuu mbili mandhari ya mji mkuu wa PARIS yanavutia sana , si ajabu kukuta wasanii wetu wa...
  20. Slowly

    Kisa cha Desmond Doss na dhana ya uwezo wa nguvu za Mungu

    Duniani kuna Imani nyingi za kidini , karbia kila mwanadamu anaamin uwepo wa nguvu zisizo za kawaida katika maisha ya binadamu... uwepo wa Mungu ni dhana inayoaminika na wanadamu karbia wote duniani , hata hvyo Mungu huyu anaabudiwa Kwa mfumo na Imani tofaut tofaut ... Kuna wanaomuabudu kupitia...
Back
Top Bottom