masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,803
- 13,034
Hii sakata la Mzee Lugemalira limenifanya nifikiri sana juu ya uwezo mkubwa wa Mungu kuweka level playing field.
Mze Lugemalira baada ya kukaa ndani miaka mitano, ametolewa bila masharti yoyote.
Kukaa gerzani ni mateso, matesoyaliyo andaliwa na binadamu.
Cha ajabu wengi wa waliokuwa madarakani na kuamuru mzee Lugemalira kuwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka wamekwisha kutangulia mbele za Haki.
Hili fundisho viongozi wetu wasippojifunza, hawataelewa kamwe.
Tusijefikiri Lugemalira kashinda majaribu kwa uwezo wake mwenyewe, Mungu alikuwepo naye.
Nimeupenda ujumbe huu!
Tukumbuke viongozi wote wanakula kiapo wakishika vitabu vitakatifu.
Kukiuka viapo hivyo ni hatari.