Kwanini Leo Mightier sikuishia tu Kuufurahia Ushindi wa Taabu wa Simba SC, bali hata Machozi yalinitoka na Kumshukuru mno Mwenyezi Mungu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC.

Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo Viongozi Waandamizi wa Dodoma Jiji FC ( ambao pia ni Maseneta ndani ya Yanga SC ) bila kuwasahau Wafanyakazi baadhi wa Serikali na Manispaa pamoja na Msaidizi wa Mganga wa Yanga SC anayetawala ( trend ) mno Mitandaoni wamefanya Ushirikina ( Unyangindo ) wa kila aina katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma mpaka Kuzuia Watu wa Simba SC wasiingie ( Kasoro Jana tu ) ili wafungwe. I

Na Mkakati huu haukuishia kwa Kuroga ( Ushirikina ) zaidi bali ulihamia mpaka kwa Waamuzi ambapo kwa bahati waliyekuwa wakidhani ndiyo atakuwa Mwamuzi leo ( waliyemalizana nae ) akaishia kuwa Kamisaa huku Yule ambaye hawakuzungumza nae ( Kumshirikisha ) ndiyo akawa Mwamuzi ( Referee ) na akachezesha kwa Kujitahidi kidogo japo alikuwa akiingiliwa mno Kimaamuzi na Kamisaa ambaye alishapewa Mzigo mapema tu.

Shukran nyingi hasa ziende kwa Kocha mwenye Uchungu na Simba SC Selemani Matola pamoja na Meneja anayeipenda Simba kuliko hata Mkoa wake wa Kagera ( Bukoba ) Patrick Rweymamu ambao Kipindi cha Pili waliamua Kumshauri Kinguvu Kocha Mkuu Gomez kuwa amuingize Mshambuliaji Meddie Kagere ili Simba SC iwe na Washambuliaji Watatu wakiamini kuwa Nguvu za Kagere na Uchezaji wake ungeleta Mafanikio na kweli ikawa hivyo.

Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC!!!
 
Simba ndio wa anzilishi wa figisu, Sasa msilielie.Naodha wa KMC Juma Kaseja akpiokea kitita Cha mamilioni kutoka kwa mkuu wa mkoa wa DSM ndugu Makonda baada ya kuibania Yanga, inasemekana kitita icho kilitoka kwa mfadhili wa Simba ndugu MO
Screenshot_20211002-063618.jpg
 
Simba ndio wa anzilishi wa figisu, Sasa msilielie.Naodha wa KMC Juma Kaseja akpiokea kitita Cha mamilioni kutoka kwa mkuu wa mkoa wa DSM ndugu Makonda baada ya kuibania Yanga, inasemekana kitita icho kilitoka kwa mfadhili wa Simba ndugu MOView attachment 1959881
Kwahiyo Kosa huwa linahalalishwa kwa Kosa lingine? Wewe Jamaa Comments zako nyingi sana hapa JamiiForums ni za Kipumbavu mno na zinathibitisha pia jinsi ulivyo Mpumbavu sana Kiasili.

Kifupi huwa Unaboa labda haujajijua tu.
 
Kuni ita Mimi mpumbavu hakuondoi ukweli, Simba kwa miaka ya hivi karibuni wamefanya Mambo mengi ya hovyo ili kupata ubingwa, Kwa kumtumia Makonda Simba waliweza kumuondoa Manji Yanga. Kwa kuwatumiaTff Simba waliwa dhoofisha Yanga angalia sakata la Morrison Tff wamehusika kwa 100%. Wewe bado kijana mdogo Mambo ya mpira wa nchi hii ni fitina tu.
 
Absolute Nonsense.....!!!!
 
Rushwa, ushirikina na majungu yote lakini mwisho wa siku imeingia hapo mwa mbinde, ila imeingia.
 
Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC.

Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo Viongozi Waandamizi wa Dodoma Jiji FC ( ambao pia ni Maseneta ndani ya Yanga SC ) bila kuwasahau Wafanyakazi baadhi wa Serikali na Manispaa pamoja na Msaidizi wa Mganga wa Yanga SC anayetawala ( trend ) mno Mitandaoni wamefanya Ushirikina ( Unyangindo ) wa kila aina katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma mpaka Kuzuia Watu wa Simba SC wasiingie ( Kasoro Jana tu ) ili wafungwe. I

Na Mkakati huu haukuishia kwa Kuroga ( Ushirikina ) zaidi bali ulihamia mpaka kwa Waamuzi ambapo kwa bahati waliyekuwa wakidhani ndiyo atakuwa Mwamuzi leo ( waliyemalizana nae ) akaishia kuwa Kamisaa huku Yule ambaye hawakuzungumza nae ( Kumshirikisha ) ndiyo akawa Mwamuzi ( Referee ) na akachezesha kwa Kujitahidi kidogo japo alikuwa akiingiliwa mno Kimaamuzi na Kamisaa ambaye alishapewa Mzigo mapema tu.

Shukran nyingi hasa ziende kwa Kocha mwenye Uchungu na Simba SC Selemani Matola pamoja na Meneja anayeipenda Simba kuliko hata Mkoa wake wa Kagera ( Bukoba ) Patrick Rweymamu ambao Kipindi cha Pili waliamua Kumshauri Kinguvu Kocha Mkuu Gomez kuwa amuingize Mshambuliaji Meddie Kagere ili Simba SC iwe na Washambuliaji Watatu wakiamini kuwa Nguvu za Kagere na Uchezaji wake ungeleta Mafanikio na kweli ikawa hivyo.

Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC!!!
Angalia ndugu maruweruwe ya kukosa matokeo hivi karibuni na matokeo ya taabu ya Jana,yasiwageuze machizi.Ni ushauri tu wajameni.
 
Yaani wewe unaongelea ushirikina! Wewe ndio huna kabisa hoja, nawashangaa sana mnao amini kwamba timu inaweza ikategemea uchawi ili ishinde mchezo wa soka. Very foolish thinking.
 
Huu ni uzushi tu timu yako ni ile ile ni suala la muda tu mtarudi hapa kulia lia TFF.

Mmetolewa CAF nani aliwahujumu?Kwa vile akili zenu ni kama kocha wetu alivyowaambia,mtaendelea kucheka kundu la wengine na mkidhani mko salama

Back
Top Bottom