Nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,801
44,943
Mungu ni Mwema kila wakati.

Wakuu tusaidiane mimi ni kijana ambaye nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote.

Naomba mwenye msaada aniunganishe.

Kiufupi nipo na Huwezo mkubwa wa kufanya kazi za nguvu katika site za ujenzi ....Mfano ujenzi wa barabara,Majumba n.k

Nb hata maswala ya umwagaji wa zege niko vizuri nina huwezo wa kubeba ndoo ya zege litre 20 hadi eneo la kazi.

Picha yangu hiko hapo chini.

Mungu awabariki watu wa Mungu nyote.

Nb: don't judge a book by it cover
61f0bdc668da4b70a98740ddc3f7521c.jpg
 
Uza suti ujiajir mkuu aliekushauri uweke picha pia aongezew akil kidogo... Vip hauhitaj dokta wa saikolojia kupnguza stres walau kidogo
 
Uza suti ujiajir mkuu aliekushauri uweke picha pia aongezew akil kidogo... Vip hauhitaj dokta wa saikolojia kupnguza stres walau kidogo
Hayo mavazi sio expensive kama unavyofikiria . pia tunafanya kazi hizi hizi. Ngumu na suti tunavaa hivyo msikalili maisha.
 
All the best, ila fanya urafiki na mafundi mwashi, kuwa na contact zao za kutosha kazi ikitokea wanakuita sababu kazi nyingi za ujenzi anapewa fundi / contractor ambaye yeye mwisho wa siku ana vibarua wake ambao anawaamini.

All the Best...
 
Back
Top Bottom