mungu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Deo Sanga akiri Rais Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe

    Mhe Deogratias Sanga Mbunge wa Njombe Kaskazini|Makambako amesema Rais Samia Suluhu ni mpango wa Mungu mwenyewe kupitia kwa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli, <<<Hebu msikilize kwa makini>>>
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

    Kutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi". Je, ni kwanini Mwenyezi Mungu alitoa hiyo decree? Kabla sijatoa majibu yangu kuhusu swali hili Wacha nitoe maoni yangu kwanini Mungu aliwakataza kabisa binadamu kujihusisha Na uchawi. Ipo...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

    Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Kheri iwaendee wazazi wa watoto hawa wanaokuzwa katika maadili na hofu ya Mungu

  5. JamiiForums Tanzania Kigoma: Baadhi ya wakazi wagoma kulipa huduma ya maji wakidai ni ya Mungu

    Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Kigoma wameripotiwa kugoma kulipia huduma ya maji kwa kile wanachodai kuwa bidhaa hiyo inaletwa na Mungu. Akizungumza katika mkutano wa nusu mwaka wa Wakala wa Usabazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Kigoma, Meneja wa wakala huo wilayani...
  6. JamiiForums Tanzania Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

    Hii huenda ndio ikawa hotuba bora ya Conference of Parties (COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania === Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa uwongo walitungiwa hadi Amri na Mwenyezi Mungu, lakini wanasiasa wanajitoa ufahamu

    Ninawaonea huruma sana wale Waendesha Mashataka wa Serikali! Wanastrugle sana sana kuonesha kuwa akina Mbowe walikuwa na makosa ya ugaidi. Yule shahidi wa jana aliposema tu yale maneno "Mpo chini ya ulinzi kwa sababu mnajihusisha na vitendo vya ugaidi" yakawa yametofautiana na maelezo yake...
  8. JamiiForums Tanzania Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

    Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha...
  9. JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    Yaani wengi watadhani ni as mulizi tu za Jomba Buji, lakini huku ndiko haswa tulikotoka 1. NGOMA YA MDUNDIKO Zama zile MDUNDIKO ulipita mtaa kwa mtaa jijini, ni mwendo mpwitompwito, nyimbo, ngoma, matusi, mikatiko, yaani kivumbi na jasho, unatoka kwenu Buguruni unajikuta uko Kawe Mzimuni, na...
  10. JamiiForums Tanzania Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

    “Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu ibariki Police Tanzania FC imlipie kisasi Gomez

    Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me. Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

    Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku. Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi

    Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi "Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume." Kwa ibada, maombi, heshma MUNGU atatuwezesha Mungu awajalie upendo wa moyoni uupendo upitao upendo wowote, upendo utakaowapa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuache kuuma Uma maneno, Manara kamlilia Mungu wake Na Mungu amemjibu

    Kuna watu Dua zao huwaga Ni kun faya kun hasa hasa pale Haki inapokuwa upande wao. Na bado!!! Kufa hamfi ila cha Moto mtakiona..
  16. JamiiForums Tanzania Mungu anachukia wanandoa kuachana

    Siku za leo neno kuachana kwenye ndoa kimekuwa kitu cha kawaida sana na isitoshe mpaka baadhi ya watumishi wa Mungu kuhalalisha kabisa na kuruhusu hili swala. Kwa kwale linaniumiza moyo sana. Sasa ndugu zangu Mungu hapendi hali hiyo pamoja na watumishi wake kuruhusu iwe kwa talaka au pasipo...
  17. JamiiForums Tanzania Muacheni Mungu aitwe Mungu tu

    Muda mwingine unaweza kujikatia tamaa kwa maisha unayoishi,ila ukiangalia kwa wengine ndio unajua Mungu kakufavor sana, tunahangaika kutafuta pesa kukicha ili tuishi maisha manzuri kumbe kuna mtu ana hata huo uwezo wa kutafuta hizo pesa,maisha yake ya shida sana wengine wanaishi kama...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

    Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF. Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu. Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu anakuona sema Ukweli Wewe uko Kundi ( Daraja ) lipi ( gani ) hapa?

    Ufuatao ni mtiririko wa Ufaulu wa Kitaaluma ( Chuo Kikuu ) kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree ) na tabia ya Mhusika katika Jamii na hata Maisha yake ya baadae..... 1. FIRST CLASS G.P.A Hawa huwa ni Watu wenye Akili nyingi ila katika Maisha ya Mtaani ndiyo huwa Wafeliji wakubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Mkoa wa Songwe na Afisa Elimu Wilaya waache kujifanya Miungu watu

    Habari wakuu za usiku, Kama kawaida naomba nielezee kwa masikitiko makubwa jinsi huyu Afisa Elimu Mkoa wa Songwe anavyojifanya Mungu mtu akishirikiana na Afisa Elimu Wilaya ndugu Bhange. Kwa bahati nzuri nilikuwa kwenye semina ya usimamizi wa mitihani, nikamsikia akimzungumzia mwalimu mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…