mungu

  1. JamiiForums Tanzania Atheists (wasioamini Mungu) ndio jamii ya watu wanaoongoza Kujiua (Suicide) Duniani

    Katika tafiti mbalimbali zinaonyesha jamii ya watu wanaoongoza kujiua ulimwenguni. Hata hivyo jamii hii inqyokuwa kwa kasi, yenye watu wajivuni wanaodhani wametaka akili mpya nakuwaita watu wa dini mambumbumbu wengi wao licha ya uchangamfu wa nje na kimaandishi ndani ni wachovu, wanamisongo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto. Dua ZENU wadau ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

    P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho. Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

    Salaam, Shalom!! Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani. Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi? Jina la Mungu ni nani? Karibuni 🙏
  5. JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi sana. Fanya yote yakufurahishayo ikiwa tu huvunji sheria za Mungu wala za nchi

    Wakuu kwema! Sisi Watibeli tunajua kabisa miaka 100 ni michache mno. Alafu fikiria karibu asilimia 95% hatutafikia umri huo. Na hao watakaofika watakiona cha moto. Maisha ni mafupi ndio maana Watibeli siku zote tunafurahi. Kwetu Furaha ni kuishi kwa amani na Watu wote. Hatuweki vinyongo wala...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je utumwa ilikua mipango ya Mungu ana ilitokea bahati mbaya?

    Watu wa dini husema kila kitu ni mipango ya Mungu. Kwamba hakuna jambo linatokea tu from no where, lazima lilishapangwa kutokea huko kabla. Sasa ningependa kufahamu, je utumwa ambao tulifanyiwa waafrika kwa karibu niaka 400 na mataifa mengine ya Ulaya na Asia, ilikua imepangwa hivyo kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Wayahudi wengi waanza kumrudia Mungu, amewanusuru kwa maafa kama alivyokua anafanya enzi zile

    Hapa sasa ni mpambano kati ya Mungu wa Wayahudi na yule wa waislamu, kila muislamu leo hii anapiga magoti kwa bidii na kuiombea Israel ife, ifutike, nao Wayahudi wamemrudia Mungu wao wakiomba awanusuru kwa hili kama alivyowanusuru tangu enzi za mababu zao akina Musa, Daudi na wengine. Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu si mnyimi, stori ya Emma Kok inasikitisha lakini inafariji na kufurahisha pia

    Anaitwa EMMA KOK, Binti wa miaka 16 tu. Usipoambiwa anayoyapitia Kiafya utadhani ni binti asiekuwa na shida yoyote kimuonekano. Hatahivyo uhalisia ni kuwa binti huyu anao mzigo mkubwa, changamoto anayoipitia. Inasikitisha, inahuzunisha lakini ukiisoma Historia yake na anayoyafanya pasi na shaka...
  9. JamiiForums Tanzania Kama ukipewa ofa ya kuchagua miaka ya kuishi na mwenyezi Mungu, utachagua mingapi. Mimi 120

    Wasalaam. Kwa sababu ya uhaba wa umeme, maji safi, uwezekano wa ajali, na magonjwa ya kushtukiza na kujisababishia wabongo wengi wamekata tamaa na wanaishi kana kwamba sekunde yoyote anakufa. Hii imepelekea ufisadi, wizi, ujanjaujanja na ukosefu wa mipango mikubwa endelevu maana watu wanajua...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakatili upenda sana kuhubiri kulogwa, kuuawa, kudhurika na kumtaja sana Mungu?

    Watu wengi wasiotenda haki ni wepesi sana kuamini katika kulogwa na kudhurika. Upenda sana kuifanya jamii ionekane kama ina kizazi cha watu wakatili na ambao wasingependa wenzao wafanikiwe. Kwa upande wa pili viongozi hawa upenda sana simpathy na perfection huku walio chini yao wakitakiwa kuwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mungu alikua na maana gani kuagiza kwenye amri ya 6 Usiue kisha akaagiza wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine?

    Historia ya biblia inasema Mungu alimpa Musa amri zake 10 kuu, kati ya amri hizo iko amri ya 6 ya usiue. Hii amri Mungu aliwakataza binadamu kuua ama kukatisha uhai wa binadamu wenzao. Cha kujiuliza na kushangaza, Mungu huyo huyo akaamuru wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine kama...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Makonda aitwa Mungu, ndio anatengezwa mwingine wa kutukuzwa na kuogopwa?

    Mwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo. Ndio ameanza kuandaliwa taratibu mtu wa kuogofwa na kutukuzwa kama Mwendazake? Kwenu Wakuu.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mvutano: Ni kwanini Mungu alimruhusu mwanaume kuweza kuwa na mke zaidi ya moja kwenye biblia lakini makanisa yamekataza?

    Hakuna sehemu yoyote ambayo Mungu alikataza hata manabii ama wafame waliomtumikia kuoa mke zaidi ya moja, ukimya wake katika jambo hili ni sawa na sisi wazazi tunapoona mtoto anafanya mambo kwa usahihi tunakuwa hatuna haja ya kumwambia anakosea. Ni kweli kwamba mwanaume akiondoka kwao yapendeza...
  14. JamiiForums Tanzania Kama 70% ya Umeme Wa Tanesco ni wa Gesi, Mbona Maji yanasingiziwa sana?

    “Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Chris Rock kuabika ni matokeo ya kumtania Mungu?

    Chris Rock alipigwa kofi na Will Smith huku dunia nzima ikitizama aibu hio. Ila kabla ya hili tukio Chris alifanya stand up on "Netflix is a joke". Kati ya moja ya jokes alizotoa ni ile ya kusema kwamba anashangaa eti kwa nini watu wanasema eti Mungu hafanyi makosa. Akasema kuwa inakuwaje...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

    Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua. Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Kuomba sana, kuwa mwema sana sio sababu ya Mungu kukubariki

    Ukiangalia kwenye maisha kuna watu hawana habari na Mungu hata kidogo na wanamaisha mazuri biashara zao zinazidi kukua kila uchwao mfano mzuri ni wana-science wako mstari wa mbele kumpinga Mungu ila kila siku wanazidi kuvumbua vitu Njoo kwa sisi ambao tunaomba kila siku wengi wetu maisha yetu...
  18. JamiiForums Tanzania Muda ambao Mungu anafungua milango hakuna cha kuzuia, endeleeni kupambana kutafuta fursa za ajira na tenda

    Kuna miaka kama mitatu hivi nilipitia changamoto na fursa zikawa haziji. Nilikuwa natamani hata kupata kazi ya kulipwa chini ya milioni na haikupatikana. Sasa hivi hata siamini namna miaka mitano tu inavyoweza kubadilisha maisha ya mtu. Nikaendelea kuomba fursa karibu kila sehemu. Kumbuka nina...
  19. JamiiForums Tanzania Nawaombea baraka na neema za Mungu waandamanaji wote kesho Jan, 24

    Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote, daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe. Wasiohusika wasibughudhiwe, wasiguswe, wasilazimishwe kushiriki maandamano, wasizomewe wala kudhulumiwa chochote...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nimepita sehemu nikakuta watu wanaomba Mungu kukemea mvua isinyeshe! Nimewashangaa sana

    Nimewaza sana leo! Yaani watu kabisa wanamuomba Mungu kukemea Mvua isinyeshe! Kwamba mvua inaleta uharibifu! Bahati mbaya kwenye hayo maombi kulikuwa na watu wazima, wazee hadi watoto wadogo! Sikatai wao kufanya maombi! Lakini kinachonitisha ni hao watoto watakuwa na mentality ya kukemea vitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…