Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
6,960
12,980
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda boda boda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwai temeke Kuna deals nikafanye

Kufika makutano ya bandarini gafla kutaamak gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto...

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute Kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Poleee,Mungu mwema utapona haraka.
 
Sababu ya kukuwekea urinary catheter ni ipi?

Pole sana upone haraka.
Nimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater

Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..

Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
 
Back
Top Bottom