Je utumwa ilikua mipango ya Mungu ana ilitokea bahati mbaya?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,465
17,305
Watu wa dini husema kila kitu ni mipango ya Mungu. Kwamba hakuna jambo linatokea tu from no where, lazima lilishapangwa kutokea huko kabla.

Sasa ningependa kufahamu, je utumwa ambao tulifanyiwa waafrika kwa karibu niaka 400 na mataifa mengine ya Ulaya na Asia, ilikua imepangwa hivyo kwamba waafrika tutachukuliwa utumwani ama ilitokea bahati mbaya?

Kila mtu anajua maovu na mabaya ambayo waafrika tulitendewa chini ya utumwa, vizazi vyetu vilivyotangulia walifanyiwa unyama usio na kifani, mfano kulishwa simba huku wakiwa hai, watoto wao kulishwa mamba na kenge wa kufungwa na matukio mengine mabaya mabaya.

Haya yote yalitokea chini ya uangalizi wa Mungu, kwa maana yakitokea huku Mungu akiwa anaangalia na kushuhudia huo unyama ulitokea kwa watu weusi.

Swali langu ni kwamba, je utumwa kwa watu weusi ilikua ni jambo lililokua tayari limepangwa na Mungu kutokea ana lilitokea bahati mbaya tu?
 
Kwa mujibu wa maandiko tuliyofundishwa na kuaminishwa toka utoto jibu ni ndio utumwa ulikuwa mpango wa Mungu bila kupepesa maho ila kwakua pia tunapenda kunena mema katika maandiko na imani za Mungu hili swala litafumbwa fumbwa na kupambwa kwa maneno mazuri ili kuonekana Mungu hakuhusika.
 
Hivi unadhani bila utumwa kwa wakati ule ingekuwaje ? Hapa hakuna cha Mungu wala nini; Nguvu kazi ilikuwa inahitajika sana (production ilikuwa ndogo)..., Hivyo ili wengi waweze kutumika kwa manufaa ya wachache ilibidi wenye mabavu ku-exploit wasio na mabavu...

Hio ndio Law of Nature according to Indians....Law of the Fishes Matsya Nyaya - The Bigger Fish will Always eat the Smaller Fishes.. (Hata sasa ni muendelezo wa yaleyale kwa aina nyingine)
 
Watu wa dini husema kila kitu ni mipango ya Mungu. Kwamba hakuna jambo linatokea tu from no where, lazima lilishapangwa kutokea huko kabla.

Sasa ningependa kufahamu, je utumwa ambao tulifanyiwa waafrika kwa karibu niaka 400 na mataifa mengine ya Ulaya na Asia, ilikua imepangwa hivyo kwamba waafrika tutachukuliwa utumwani ama ilitokea bahati mbaya?

Kila mtu anajua maovu na mabaya ambayo waafrika tulitendewa chini ya utumwa, vizazi vyetu vilivyotangulia walifanyiwa unyama usio na kifani, mfano kulishwa simba huku wakiwa hai, watoto wao kulishwa mamba na kenge wa kufungwa na matukio mengine mabaya mabaya.

Haya yote yalitokea chini ya uangalizi wa Mungu, kwa maana yakitokea huku Mungu akiwa anaangalia na kushuhudia huo unyama ulitokea kwa watu weusi.

Swali langu ni kwamba, je utumwa kwa watu weusi ilikua ni jambo lililokua tayari limepangwa na Mungu kutokea ana lilitokea bahati mbaya tu?
Usimuhusishe mungu kwenye mambo yenu yakidunia, ishi nayo itakusaidia
 
Nakumbuka kuna sehemu enzi za utumwa ilikuwa inaitwa point of no return
Wana historia mnikumbushe ni wapi hii kitu?
Point of No Return 19
 
Sio mpango wa Mungu, ni mfumo wa maisha ya binadamu na viumbe wote ulimwenguni lazima kuwe na mwenye nguvu na mnyonge, na mnyonge lazima hugeuka kijakazi kwa namna tofauti kama mtumwa, chawa, kibaraka n.k na kamwe hautokuja kuisha wala kufutika kwenye uso wa dunia bali utabadilika kutoka namna moja kwenda nyingine na kubadilishwa titles tu.
 
Watu wa dini husema kila kitu ni mipango ya Mungu. Kwamba hakuna jambo linatokea tu from no where, lazima lilishapangwa kutokea huko kabla.

Sasa ningependa kufahamu, je utumwa ambao tulifanyiwa waafrika kwa karibu niaka 400 na mataifa mengine ya Ulaya na Asia, ilikua imepangwa hivyo kwamba waafrika tutachukuliwa utumwani ama ilitokea bahati mbaya?

Kila mtu anajua maovu na mabaya ambayo waafrika tulitendewa chini ya utumwa, vizazi vyetu vilivyotangulia walifanyiwa unyama usio na kifani, mfano kulishwa simba huku wakiwa hai, watoto wao kulishwa mamba na kenge wa kufungwa na matukio mengine mabaya mabaya.

Haya yote yalitokea chini ya uangalizi wa Mungu, kwa maana yakitokea huku Mungu akiwa anaangalia na kushuhudia huo unyama ulitokea kwa watu weusi.

Swali langu ni kwamba, je utumwa kwa watu weusi ilikua ni jambo lililokua tayari limepangwa na Mungu kutokea ana lilitokea bahati mbaya tu?
mzee IBRAHIM alikuwa na watumwa kibao,,,mzee AYUBU nae,,,,utumwa nimpango,wewe ulieandika huu uzi pia una kamtumwa kako{house girl}'''maana ya utumwa ni kwamba,mtumwa ni m2 amabe yupo kwako kwa ajili ya kutumwa tu!! hana maamuzi
 
Mkuu mambo ya dini na Mungu, unahitaji kuyaendea kwa umakini mno maana matango pori ni mengi mno!
 
mzee IBRAHIM alikuwa na watumwa kibao,,,mzee AYUBU nae,,,,utumwa nimpango,wewe ulieandika huu uzi pia una kamtumwa kako{house girl}'''maana ya utumwa ni kwamba,mtumwa ni m2 amabe yupo kwako kwa ajili ya kutumwa tu!! hana maamuzi
Kuna mfanyakazi unaemlipa kama House girl sio utumwa.

Kwa waafrika ule utumwa huwezi kuufananisha na House girl. Watu kulishwa simba wakiwa hai, kuuwawa bila sababu za msingi, kuhasiwa, kukatwa miguu, mikono, kutobolewa macho, watoto wachanga kulishwa mamba na kenge wa kufuga, huo utumwa ndio unaufananisha na house girl?
 
Mungu aliwai toa amri kuna vizazi mpaka baadhi vifutwe hapa duniani.

Kuhusu mada yako ni kweli kila jambo ni mipango ya Mungu mwenyewe maana mara nyingi tu karusu wana wa Israel waingie utumwani pindi wanapomkosea.
Kwa hiyo yale mateso ambayo wazee wetu walipitia mungu alikua kayapanga na alikua anafurahia tu kuyaona watu weusi wakiliwa na simba wakiwa hai yeye anachekelea tu?
 
Hivi unadhani bila utumwa kwa wakati ule ingekuwaje ? Hapa hakuna cha Mungu wala nini; Nguvu kazi ilikuwa inahitajika sana (production ilikuwa ndogo)..., Hivyo ili wengi waweze kutumika kwa manufaa ya wachache ilibidi wenye mabavu ku-exploit wasio na mabavu...

Hio ndio Law of Nature according to Indians....Law of the Fishes Matsya Nyaya - The Bigger Fish will Always eat the Smaller Fishes.. (Hata sasa ni muendelezo wa yaleyale kwa aina nyingine)
Kwa hiyo mungu hahusiki kabisa mkuu na yaliyotokea na wala hakuyajua?
 
Sio mpango wa Mungu, ni mfumo wa maisha ya binadamu na viumbe wote ulimwenguni lazima kuwe na mwenye nguvu na mnyonge, na mnyonge lazima hugeuka kijakazi kwa namna tofauti kama mtumwa, chawa, kibaraka n.k na kamwe hautokuja kuisha wala kufutika kwenye uso wa dunia bali utabadilika kutoka namna moja kwenda nyingine na kubadilishwa titles tu.
Sasa kwanini wenye nguvu wengi (wananchi) wananyonywa na wachache / wasio na nguvu (watawala)...

Ni kwamba Binadamu ni akili fupi tunazidiwa hata na kina nyuki ambao wanapeleka jamii yao kulingana na strengths zao...., Badala ya Binadamu kupambana na mazingira kama species na wote kuishi sustainably tunashikana uchawi..... Nikuachie Riddle kutoka Game of Thrones....

Lord Varys : Power is a curious thing, my lord. Are you fond of riddles?
Tyrion Lannister : Why? Am I about to hear one?
Lord Varys : Three great men sit in a room: a king, a priest, and a rich man. Between them stands a common sellsword. Each great man bids the sellsword kill the other two. Who lives, who dies?

Tyrion Lannister : Depends on the sellsword.

Lord Varys : Does it? He has neither crown, nor gold, nor favor with the gods.

Tyrion Lannister : He has a sword, the power of life and death.

Lord Varys : But if it's swordsmen who rule, why do we pretend kings hold all the power? When Ned Stark lost his head, who was truly responsible? Joffrey? The executioner? Or something else?

Tyrion Lannister : I've decided I don't like riddles.

[pause]

Lord Varys : Power resides where men believe it resides. It's a trick. A shadow on the wall. And a very small man can cast a very large shadow.
 
Sio mpango wa Mungu, ni mfumo wa maisha ya binadamu na viumbe wote ulimwenguni lazima kuwe na mwenye nguvu na mnyonge, na mnyonge lazima hugeuka kijakazi kwa namna tofauti kama mtumwa, chawa, kibaraka n.k na kamwe hautokuja kuisha wala kufutika kwenye uso wa dunia bali utabadilika kutoka namna moja kwenda nyingine na kubadilishwa titles tu.
Kwa hiyo kama sio mpango wa Mungu, yeye mungu alipoona imetokea akichukua hatua gani ama alikaa na kuchekelea kuina watu weusi wakiteswa vile?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom