Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 561
- 992
Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe.
1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani,
Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo.
Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au stress bali uwa linakuja na amani.
Wafilipi 4:7
Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
2.Kupitia ndoto, Mungu usema na wewe kupitia ndoto,
Mfano kuota ndoto mtu alikukosea jambo fulani anakushambulia au mnagombana na ndoto inajirudia mara nyingi
Ndoto hiyo ina maana Mungu anataka umsamehe huyo mtu kwa kitu alichokukosea.
Lakini pia kama kuna mtu anaota ndoto ya mtu ambaye ametenda uovu fulani na wewe umejenga kinyongo fulani
lakini kwenye ndoto unaona huyo mtu anakusaidia kwenye jambo lolote ndoto hiyo ina maana Mungu anataka umsamehe huyo mtu.
Mungu anafundisha kusamehe kwa wale waliokukosea katika maisha.
3.Mungu pia uongea na watu kupitia mafundisho ya bibilia,
kama kuna mtu wakati ulipo unasoma bibilia na unakuta kile unachosoma kinaendana na wakati uliopo fahamu kuwa Mungu anaongea na wewe, Mungu utumia njia hii pia kukuza imani yako.
4.Kupitia watu wake aliowachagua inaweza kuwa nabii, mchungaji, au mtumishi yoyote wa Mungu.
Hii inatokea pale mtu anapowaza jambo au shida fulani,
anajikuta kuna mtu anaelezea jambo lilele alilokuwa analiwaza na kupata msaada, hii inaweza kuwa labda kupitia mitandao ya kijamii.