Nina madogo watano, wote wana degree na nimewasomesha mwenyewe. Wote wapo mtaani hawana ajira.
Huyu mmoja ana degree ya ualim, kaamua kulima bustani.. Je hii ndo ajira ulioitengeneza?
Mwingine degree ya HR kabahatika kaolewa ,je hiyo ndo ajira mnazo zungumzia?
Huyu mwingine bachelor of...
Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni kweli alifanya tukio hilo na alilitekeleza kwa kumnyonga mmoja baada ya mwingine na kwamba alikuwa anajisikia vizuri wakati anatenda unyama huo.
Ndiyo maana Sisi wengine...
Sasa naamini Mungu anailinda Tanzania na korona, lakini pia sababu sisi ni wasafi sana kuhusu pua na mdomo, tunakinyaa cha vyote kutoka puani na mdomoni.
Yaani dunia nzima inavyoogopa korona na bado kuipata kwa wingi zaidi, pamoja na lockdown zao kali za hata kuuwa wananchi wasiofuata sheria...
Ndoto hutengenezwa na Mungu kama vile tamthilia ndiyo maana unaweza kuota ndani ya usiku moja matukio yote ukiwa darasa la kwanza na umbo na umri ukiwa mdogo, ukafaulu na kuingia sekondari umbo na kimo kikiongezeka hadi chuo kikuu, hapo ndipo unapoprove maisha yetu yameandikwa ktk kiganja cha...
Hili ni tukio la kweli kabisa lililotekea mwaka 1988, kuna Jamaa mmoja alitokea Tanzania kwenda Msumbiji kwa kupitia border mmoja inaitwa Congress au mkenda.kipindi hicho haikuwa njia rasmi sababu kulikuwa hakuna ofisi za uhamiaji kwa pande zote mbili yaani TZ na MOZ.
Jamaa alikuwa anaenda...
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.
Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine...
Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala Jimbo Hilo kwa muda mrefu Sana.
Kwa kile alichokitambua na kukiamini katika sheria Ni kuwa kila mtu...
Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai.
Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais.
Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya...
Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona.
Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha.
--- UPDATE---
Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha...
Ndugu zangu habari za asubuhi!
Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
Mh. Freeman A. Mbowe naomba weka pembeni itikadi zote za kisiasa utafakari jambo hili.
Tafakari, nikwanini kipindi hiki cha kuelekea bunge kuisha umepatwa na tatizo la kuvunjika mguu! Tena usiku wa manane?
Lakini kiujumla lilikuwa nitatizo dogo sana ambalo ungeweza kulihandle vizuri tu...
Nimeshaandika mara kadhaa kupitia hapa JF kuwa kuna pigo linaweza kuja kuwapata watu fulani na hakika pigo hili ni dhahiri litatimia kwani watu hawa wameendelea kujisahau sana na wanaendelea kumkufuru Mungu (Nature).
Niwaambie tu watu hawa kuwa linaweza kushuhwa pigo takatifu litalobadili kila...
Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.
Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.
Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais...
Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii"...
Kwa jina la salamu natumai hamjambo
Wakuu kweli Mungu ni wa ajabu sana, kuna ndugu yangu mmoja alimfukuza mkewe kisa kamzalia mtoto albino akidai katika ukoo hawapo hivyo atakua alichepuka.
Akaoa mke mwingine but cha ajabu naye kamzalia albino yaani sasa hivi ana mwezi yupo ndani analia tu...
Natumai hamjambo wakuu,
Wakuu naombeni usaidizi wenu katika hili, je kumzaa mtoto akiwa mlemavu wa ngozi, macho, kiziwi, bubu, kilema or hata sura mbaya inatokana na sababu za kibailojia or mipango ya mungu?
Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu?
1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu.
2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo...
Wengine tuliofiwa na Ndugu tokana na gonjwa hili la Covid 19 ndiyo tunajua machungu yake. Serikali yetu, naapa mbele za Mungu Wetu, ilipoamua kusimamisha kupima maambukizi ilificha mengi. Halijaisha juma moja nina uhakika na kifo cha Ndugu yangu mwingine kuwa kilisababishwa na corona. Ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.