Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,436
Habari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani?
Mtu akifuga mbuzi Faida yake ni nyama na maziwa
Kadhalika ng'ombe ninyama na maziwa kuku kondoo na vinginevyo navyo vina faida juu ya mfugaji wake.
Je umewai jiuliza ni ipi Faida aipatayo mfugaji wa Hawa viumbe wanao itwa bin Adam/ mimi na wewe ?
Kwa ufahamu wangu Dunia imeumbwa kwa mfumo wa chukua kitu weka kitu
Sasa hizi mvua,Juan,mwezi,mito,maziwa,pumzi,atupaye vyote hivi anapata Faida gani?
Kuku humtazama mwanadamu kama mlinzi wake na apatapo tatizo hukimbilia nyumbani kwa mlinzi wake akiamini atakuwa sarama
Lakini mlinzi huyo huyo ndiye amtafunaye kuku kwa kumchemsha au kumchoma nakuku asijue siku ya kuliwa au kuuzwa na mfugaji wake
Je, hii Ina tofauti gani na mwanadamu ambaye apatapo tatizo hukimbilia kwa mungu/mfugaji wake
Akiamini kuna ulinzi na nimlinzi wake lakini hata hivyo mungu ndiye ajuaye siku yakufa kwa mwanadamu
kama kuku asivyo ijua siku ya kuchinjwa kwake na mwanadamu
Sawa sawa nakuku akimbiliapo kwa mwadamu/mfugaji wake akiamini ni mlinzi wake lakini kumbe ndiye mlaji wake
kwanini watu wema hufa mapema Au watu wema nichakula kizuri cha muumbaji Wetu?
Sawa na vile uendapo shambani kwako ukahitaji mhindi mbichi wa kuchoma
si utahitaji mhindi mzuri,Wenye afya na kuu Acha mbaya usio na afya?
Je, hii nisawa na wabaya kudumu na wema kufa mapema?
Biblia Ina mzungumzia mungu kama Kiumbe mpenda nyama ya kuchoma"
* Rejea kuhusu Sadaka za wanyama za kuteketeza
*Rejea pia kuhusu isaka kukoswa Koswa kupigwa kisu na baba yake kwa ajiri ya kumtolea mungu sadaka
Je, Mungu ni mla nyama za wanyama na watu?
Mungu anaizungumzia Dunia kama shamba na Ana wazungumzia binadamu kama mavuno kwa kusema hivi..
Shambani mwa bwana mavuno nimengi ila watenda kazi ni wachache
Kwanini mungu aifananishe Dunia na shamba?
Na kwanini atufananishe sisi watu na mavuno? Mbona kama biblia Ina tufungua akili hivi
Binafsi namwona mungu kama shetani na shenani kama mungu
Je, Bina damu ni chakula cha anaye itwa mungu?