mungu

  1. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Sio Mungu tu tuliyemkataa

    Another Sunday, another boredom, another weekend. Nimeamka Salama namshukuru Mungu. It got me thinking, when was the last time going to church? Je namshukuru Mungu kweli, au naongea tu Kwa vile ni msemo wa Kila siku(jumapili especially!) je huyo Mungu WA kanisani nisiyemuamini Kwa nini bado...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😢

    Haijalishi wewe ni muislamu au mkristo, kama una imani yoyote inayoamini kwenye "Mungu" nina maswali hapo chini kwa ajili yako. Kwanini Mungu anaruhusu watoto wazaliwe na changamoto za kiafya ambazo hazina tiba na zitawatesa watoto mpaka wanapokufa wakiwa bado watoto wachanga au wadogo? (cancer...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sala ya Leo: Usiku Mwema Mungu atatenda

    Wote tusali kwa pamoja kadri ya maandishi kwenye picha hapa chini na wimbo wake. Mods niwekee hiyo clop vema
  4. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mwanadamu ndiye anayetaabika na si Mungu? 🤔

    Habari za wakati huu wakuu. Nina swali ambalo limekuwa likinitatiza kimantiki, ikiwa shetani alimuasi Mungu kwa kiburi na chuki, mantiki ya yeye kumtesa mwanadamu inatoka wapi? Kwa nini asielekeze "nguvu" zake kwa huyo aliyemuasi badala ya kumshambulia mwanadamu ambaye hana hatia katika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo: Kati ya Tundu Lisu na Sinde Warioba nani, Mungu akitenda muujiza, nani awe Rais?

    SWALI ni hilo hapo juu. Maana chungu kimeishiwa kabisa , sana sana uchaguzi ni hao wawili
  6. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Usitegemee nguvu zako pekee kuna mambo ili ufanikiwa una hitaji neema ya Mungu

    Luka 5:5 Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Luka 5:6 Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika; Hii inafundisha nini, petro na wenzake walijituma sana...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Eti na huyu ni Askofu! Maajabu ya dunia! Anachunga Kondoo wa MUNGU

    Halafu kuna watu wanamsikiliza kama Askofu, mchungaji! Tuna tatizo kubwa sana kwetu! Ukiona vipi jinyamazie ETI : RIPOTI YA CHANDE IMELIPONYA TAIFA
  9. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation)

    Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation) Katika bibilia Yesu kristo kabla ajaanza hudumu ya injili alichukuliwa na malaika kwenda jangwani(isolation) na kufunga siku 40 na kipindi hicho alikuwa akijaribiwa. Musa kabla ajanza huduma pia naye Mungu alimtenga kwa...
  10. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtoto anazaliwa anajua kunyonya kunya nk ila hamjui mungu mpaka afundishwe?

    Mpaka akue afundishwe ndipo amjue why? Si kaumbwa na Huyo mungu shida ni nini? Mpaka afundishwe uwepo wake
  11. mamy cute

    JamiiForums Tanzania Kama bado unapishana sheli..Mshukuru Mungu

    Mi natafuta kiguta hapa cha kuchaji.....kama bado unapishana sheli.... wewe ni mpambanaji na pia mshukuru Mungu
  12. Life2

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba

    Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo. Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu na kwa wapenda haki na amani. Lakini kupitia kifo cha Temba...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mabeberu kutengeneza magonjwa Mungu anawaona. Panya kwenye meli ya kitalii wapi na wapi.

    Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani WHO. Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wasioamini mungu (atheists) wanaweza kuwa viongozi Tanzania?

    Kuna uwezekano wowote wa mtu asiyeamini mungu(atheist) anayefahamika kwa wazi kabisa kuwa kiongozi wa nchi au serikali Tanzania kwa katiba ya sasa au hata mpya?
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Yupo Mungu aliyembariki mtanzania aliyeua 518 ila yupo Mungu atakae muhukumu mtumishi atakae kataa kuudumia wanzania,pasipo kuwaua?;

    Leo nimkusikia ukimwapisha yule waziri uliyemtoa upinzanzani wale wanao kwenda kukaimu tamesa, Umenena vyema yakuwa walio pewa nyadhifa hizo watambue ni dhamana tu. Wasipowatumikia wanzania wajiandae kulaaniwa na Mungu, SWALI chokonozi aliyetoa amri watu mia 518 kuuwa mbona tunae na tunatambae...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Samia: Ukiapa unaapa mbele ya Mungu, Serikali inaamrishwa tu kupitia Rais kwamba huyu ana haya na haya weka pembeni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa uadilifu, akisisitiza kuwa kiapo ni ahadi nzito mbele ya Mungu. "ukiapa unaapa mbele ya Mungu. Hii...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mungu alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika! Ina maana alichoka si ndio?

    Kusema akapumzika maana yake kazi ilikuwa ngumu sana ikamchosha hivyo ikamlazimu apumzike tena maandiko yanasema akastarehe kwa sasa tunaweza kusema akala Bata (BATA BATANI) Mwanzo2:1-3. Au Ninyi huwa mnaelewaje wajuvi wa maandiko? Ninachojifunza kupumzisha mwili na akili ni jambo la msingi...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

    Ndugu zetu waislamu mnaweza kutuambia kuwa hilo ni Tamko la Allah moja kwa moja kwamba wanawake wavae hijabu ya kufunika kilakitu au pengine ni hekimu ama maoni ya mtume Muhammad S.a.w pekee? Je hii sio mila na desturi za kiarabu peke yake? Kama ndivyo Allah alikusudia hivyo mbona huku Africa...
  19. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Unapokaribia kupata baraka za Mungu huwa kuna vikwazo, kwanini, majibu yapo hapa...

    Unapokaribia mlango wa baraka kufunguliwa vikwazo utokea kwa nini Danieli 10:13 Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko pamoja na wafalme wa Uajemi. Katika kifungo hiki...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

    Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Back
Top Bottom