maombi ya mwenye haki yana nguvu kubwa sana na yanapaswa kuheshimiwa au kuogopwa kwa sababu yanabeba mamlaka ya kimungu yanayoleta matokeo ya haraka.
Sana tena sanaHuyu mama ametuumiza sana.
AMINAmaombi ya mwenye haki yana nguvu kubwa sana na yanapaswa kuheshimiwa au kuogopwa kwa sababu yanabeba mamlaka ya kimungu yanayoleta matokeo ya haraka.
Msingi wa usemi huu unapatikana katika Biblia kwenye kitabu cha Yakobo 5:16 inayosema: "Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii."
Wala huyo Mungu hayupo.
Mkuu tema mate chini. Namuomba Mungu akupe maisha marefu ushuhudie Maajabu yake!Mungu sidhani kama yupo?sio kwa mauaji,uovu huu unaoendelea Tanzania aisee
SidhaniMkuu tema mate chini. Namuomba Mungu akupe maisha marefu ushuhudie Maajabu yake!
Umenikumbusha kuna mtu niliwahi kumwambia Jambo fulani akabisha na alinijibu kama wewe hivi "sidhani".Sidhani
Si Tanzania tu.Mungu sidhani kama yupo?sio kwa mauaji,uovu huu unaoendelea Tanzania aisee
Hata Mimi Mpaka nitakaposhuhudia maajabu yake ndio nitaamini lakini sio kwa hizi bla bla za hapa na paleMkuu tema mate chini. Namuomba Mungu akupe maisha marefu ushuhudie Maajabu yake!
Ndio usubiri sasa!Hata Mimi Mpaka nitakaposhuhudia maajabu yake ndio nitaamini lakini sio kwa hizi bla bla za hapa na pale
Hata Mimi Mpaka nitakaposhuhudia maajabu yake ndio nitaamini lakini sio kwa hizi bla blaMkuu tema mate chini. Namuomba Mungu akupe maisha marefu ushuhudie Maajabu yake!