Habari kwenu.
Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama.
Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo...
Kungekuwa na angalau bado hata mmoja aliyebaki na chembe ya usafi na aibu, ilitakiwa awashauri wenzie kuwa, ni vema kuyatekeleza kwa vitendo masharti yote ya Commonwealth sasa kuliko kusubiri dakika za majeruhi kufika. Itakuwa ni aibu kubwa mno.
Ndugu zangu Watanzania,
Amini Nawaambieni Ya Kuwa Huwezi Kuwa Rais wa Nchi Hii Kama Haikupangwa Na Mungu toka katika Ulimwengu wa Kiroho hata kabla ya kuzaliwa Kwako. Huwezi Kuwa Rais Kama Hujapewa Kibali na Mungu. Huwezi Kuinuka Na kuinukia Kwenye Urais kwa Mbinu zako na mipango yako Bila ama...
Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.
Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.
Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu.
Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu...
Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.
Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.
Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu...
Kumekuwa na ongezeko la manabii hapa nchini hao manabii walitabiliwa wapi na nani aliwatabiria kuwa watakuja kuwa manabii?
Hakuna popote kwenye maandiko ya torati hata angano la kale kwamba tizama tanzania atatokea nabii mnyakyusa akili kichwani wewe kanunue mafuta utajirishe manabii wa uongo...
Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu Linawezekana
Siku ya leo nilikuwa katika maombi kwa ajili ya watumishi wa Mungu ambao wamekuwa wakipitia katika changamoto mbalimbali za kidunia.
Moyoni mwangu Mungu alipitisha mistari ya kuomba kwa ajili ya watumishi hao, ambao kwa kweli wanapitia katika...
Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu
Binafsi kuna nyimbo kadhaa ambazo kwa kweli zimekuwa baraka sana katika maisha yangu ziko ngingi kutoka kwa watumishi wa Mungu ila ziko ambazo wakati wote nikizisikia zinanivuta sana karibu na Mungu
Mtumishi wa Mungu wa hapa...
Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana.
· Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ?
Bado ni kijana...
Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer.
👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi.
Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba mbaya ni kwasababu ya CCM na walarushwa!
Sasa mnao unga mkono huu mfumo ni sawa na watumwa wanao...
Tujitafari,
Biblia na quruan kwa akili ya kawaida ya Waafrika wengi waliofirisika kifikira wanaamini ni vitabu vya Mungu hadi kudai vimeshushwa na Mungu duniani.
Sasa kama ni Mungu aliyeviandaa kwanini nyie watu wa duniani mnavichapisha upya katika matoleo mbalimbali hapa duniani badala Mungu...
Huyu anajiita Mromani Katoliki, huyu yeye ni mfuasi wa mafundisho ya Warumi na miungu ya Kirumi, si mfuasi wa mafundisho ya Yesu Kristo. Ndio maana hata akitaka kubatizwa, atabatizwa kama wabizavyo Warumi.
Huyu mwingine ni Mlutheri, ni mfuasi wa mafundisho ya Martin Luther, sio mfuasi wa...
Jinsi ufalme wa Mungu unavyofanya kazi ni mfano wa ufalme au serikali inayofuata SHERIA zilizo katika katiba katika kutoa hukumu A HAKI kifupi ni kama mfumo wa MAHAKAMA ya haki.
Mungu akiwa kama HAKIMU
(2 Wathesalonike 1:5
kwamba hukumu ya Mungu ni ya haki
YESU malaika wa Mungu kama...
Mwenyezi Mungu amesema:
"Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13)
Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari.
Leo kuna watu wanaokubali historia iliyoandikwa na wanadamu, wanaamini nadharia nyingi zisizo na ushahidi wa...
Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu."
Utangulizi
Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu:
Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
https://youtu.be/pfMiJk9pH4k?si=WpiEJixA5JZL34ZZ
zaburi 23
Hakika Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu msaada utakao onekana tele hata wakati wa mateso.
Mungu yeye ni nguvu zetu na wokovu wetu.
Hata kama unapitia magumu kiasi gani haijalishi majaribu mazito na makubwa kiasi gani unayoyapitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.