Kawaida ya mwanadamu naturally anavutika kuamini vitu ambayo vipo katika kanuni zake za maisha yaani kanuni za fizikia (Law of Physics) kwa mfano kuona, kusikia, kuonja,kugusa nk.
Kwahiyo, sisi ni rahisi kuamini vitu tunavyoweza kuviona, kusikia na n.k ili kupata ushadihi wa uwepo wa vitu...