Laana ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea Wapalestina imempata Trump

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,126
10,842
Kuingia madarakani kwa Donald Trump ilikuwa kwa nguvu na njama za Israel ili kukamilisha agenda zao za kuimeza Palestina. Na kweli tangu kuingia madarakani matarajio yote ya Israel yametimia.

Amehamisha ubalozi ya Marekani kuupeleka mji wa Jerusalem ambao Wapelestina katika makubaliano yao ya awali ya kurejesha taifa lao walisema itakuwa ndio mji wao mkuu.

Baadaye akazuia fedha za kuwasaudia maskini wa kipalestina ambao umasikini wao unatokana na kuvunjiwa majumba yao na wayahudi na kunyang'anywa mashamba yao na pia kuzuiwa kufanya kazi ili kujipatia riziki kwa mikono yao.

Karibuni kabisa Trump amehalalisha ujenzi wa makazi ya Wayahudi kwenye maeneo ya Wapalestina.

Katika hali kama hii dua ya bibi yake Rashida Taib ambaye ni mbunge wa Congress aliyemuomba Allah subhaanahu wataala amuangamize Trump ni rahisi sana kufika na kupokelewa.

Leo hii anashtakiwa ili kutimuliwa madarakani na wajumbe wengi wa Congress tayari wamemshuku kuwa akili zake haziko sawa kuweza kuendelea kuliiongoza taifa hilo babe duniani.
 
Hahahaaa hizo dini zingine bhana..kwamba dua ya bibi wa Rashidi
tapatalk_1575895017079.gif
 
Trump hawezi kuondolewa madarakani na mwakani atashinda kwa kishindo.

Huo mchakato utaenda kufia kwenye Republican controlled Senate.

Umeshakuwa partisan.
Kama ikitokea hivyo pia itakuwa ni muendelezo huo huo wa laana ambayo sasa itakuwa inateremka chini kwa raia wa Marekani ambao wengi wao wanaona sawa wanachi wa nchi nyengine hasa za kiislamu kudhalilishwa.Zamu yao ya kudhalilika ni sawa mpaka watakuwa na hofu ya kudondoshewa kombora na mataifa madogo yenye njaa kama Korea Kaskazini.
Kwa maana hiyo Trump akishindikana kuondolewa basi laana itakuwa kubwaa zaidi.Usfanye mchezo na dua za wenye kudhulumiwa.Majibu yake wakati mwengine huchelewa tu lakini hayampendelei mwenye anayejifanya jabari na kudhulumu wengine.
 
laana ni kwenu nyinyi mnapigana na kuuwana wenyewe kwa wenyewe tena kwa kusema Allah AKBAR. Shia hawezi kukatiza mitaa ya sunni.
 
Hii siyo sisi bali ni nyinyi mnaochochea kwa tamaa ya kuishi duniani kwa raha kubwa.Haikuwa hivyo Iraq.Libya na kwengine mpaka pale nyinyi mlipojipenyeza na kuwashika akili vijana wajinga mnaonza kwa kuwalewesha kwa madawa ya kulevya.
Hata pale juhudi za kupatana waislamu zikikaribia kufanikiwa huwa nyinyi mnazikwamisha kwa mambo ya kichochezi.Mfano pale visima vya mafuta vya Saudia mlipovipiga mabomu ili Saudia apigane na Iran.
 
Sasa kwa nini mnakubali kuchochewa? Wakati mungu wenu ni mmoja na dini yenu ya kweli? Kwanini muuane kwa kusema Allah AKBAR? Hao wanaowachochea wanawalazimisha mkichinjana mupige mayowe Allah AKBAR? Kama si laana ni nini?
 
Kama ikitokea hivyo pia itakuwa ni muendelezo huo huo wa laana ambayo sasa itakuwa inateremka chini kwa raia wa Marekani ambao wengi wao wanaona sawa wanachi wa nchi nyengine hasa za kiislamu kudhalilishwa.Zamu yao ya kudhalilika ni sawa mpaka watakuwa na hofu ya kudondoshewa kombora na mataifa madogo yenye njaa kama Korea Kaskazini.
Kwa maana hiyo Trump akishindikana kuondolewa basi laana itakuwa kubwaa zaidi.Usfanye mchezo na dua za wenye kudhulumiwa.Majibu yake wakati mwengine huchelewa tu lakini hayampendelei mwenye anayejifanya jabari na kudhulumu wengine.
Mkuu,

Mifumo ya dunia ilivyo ni kuwa kuna unyonyaji. Hata kama asipokuwa Marekani, atakuwa China au Urusi au nchi nyingine kabisa.

Haya masuala ya laana na sijui kuanguka kwa Marekani ni maneno tu ambayo yamekuwa yakisemwa miaka nenda rudi. Tatizo sio Marekani wala mtu yeyote, bali uhalisia wa asili ya ubinafsi wa kila mwanadamu.

Acha Marekani waendelee kufanya wapendacho wanachoona kina manufaa kwao maana ni muda wao na ipo siku utaisha atakuja mnyonyaji mwingine.
 
Kuingia madarakani kwa Donald Trump ilikuwa kwa nguvu na njama za Israel ili kukamilisha agenda zao za kuimeza Palestina. Na kweli tangu kuingia madarakani matarajio yote ya Israel yametimia.

Amehamisha ubalozi ya Marekani kuupeleka mji wa Jerusalem ambao Wapelestina katika makubaliano yao ya awali ya kurejesha taifa lao walisema itakuwa ndio mji wao mkuu.

Baadaye akazuia fedha za kuwasaudia maskini wa kipalestina ambao umasikini wao unatokana na kuvunjiwa majumba yao na wayahudi na kunyang'anywa mashamba yao na pia kuzuiwa kufanya kazi ili kujipatia riziki kwa mikono yao.

Karibuni kabisa Trump amehalalisha ujenzi wa makazi ya Wayahudi kwenye maeneo ya Wapalestina.

Katika hali kama hii dua ya bibi yake Rashida Taib ambaye ni mbunge wa Congress aliyemuomba Allah subhaanahu wataala amuangamize Trump ni rahisi sana kufika na kupokelewa.

Leo hii anashtakiwa ili kutimuliwa madarakani na wajumbe wengi wa Congress tayari wamemshuku kuwa akili zake haziko sawa kuweza kuendelea kuliiongoza taifa hilo babe duniani.
Iko hivi
Anaweza akawa impeached asishtakiwe akabakia madarakani au akashtakiwa, funny enough chances za kugombea next term ipo so it's up to WaAmerica wenyewe. Anything is possible...
Democrats hope yao ni Trump kuresign but Trump is not willing to do so...
 
Hakuna kitu hapo, trump walimsingizia kala njama na warusi kushinda yakawatokea puani, wakamtuhumu wanatumia nguvu yake kuingilia uchunguzi yakawatokea puani, sasa wakamtuhumu kitu ambacho ushahidi wake ni transcript ya maongezi ambayo haina chembe ya quid pro quo, presure wala vitisho na yatawqtokea puani kama kawaida.

Tatizo ni kwamba democrats haina mwelekeo kwa sasa has a ujizingatia kioo cha day mocrats ni Alexandra cortex na bibi yule ambae akili ishaoza (anakataza kujengwa ukuta wakati nyumbani kwake kuna ukuta mkubwa tu)

Acheni kutafsiri post za CNN mzilete huku, cnn ni habari feki zenye bias
 
I think you are day dreaming, how can trump be impeached and remain in power? or you dont understand what impeachment means???????, anyway trump cant be impeached, democratics cant gather 75% requiment to kick him out of office,
 
Ati dua? nimeanguka na kicheko, je wajua shinda ni wapelestina na sio israel? palestina hawataki amani wanataka kuua na kuangamiza israel, ambapo ni next to impossible, Jews worship a living CHRIST, those of dua their prophet is still or his bones are still buried somewhere in the saudi desert, and finally trump will WIN big time in 2020, take that to the bank.
 
Hakuna kitu hapo, trump walimsingizia kala njama na warusi kushinda yakawatokea puani, wakamtuhumu wanatumia nguvu yake kuingilia uchunguzi yakawatokea puani, sasa wakamtuhumu kitu ambacho ushahidi wake ni transcript ya maongezi ambayo haina chembe ya quid pro quo, presure wala vitisho na yatawqtokea puani kama kawaida.

Tatizo ni kwamba democrats haina mwelekeo kwa sasa has a ujizingatia kioo cha day mocrats ni Alexandra cortex na bibi yule ambae akili ishaoza (anakataza kujengwa ukuta wakati nyumbani kwake kuna ukuta mkubwa tu)

Acheni kutafsiri post za CNN mzilete huku, cnn ni habari feki zenye bias
(anakataza kujengwa ukuta wakati nyumbani kwake kuna ukuta mkubwa tu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think you are day dreaming, how can trump be impeached and remain in power? or you dont understand what impeachment means???????, anyway trump cant be impeached, democratics cant gather 75% requiment to kick him out of office,
She is right, he can be impeached by the House but in order to be removed from office, the Senate has to approve the move but after holding a trial.
Screenshot_20191212-084802.png

Sema ndio hivyo, mchakato ni wa kisiasa na wamegawanyika along party lines. Senate ipo controlled na Republicans kwahiyo it is highly unlikely wamkute na makosa.

Kwahiyo Trump kuondolewa ni vigumu mno na to be realistic, haiwezekani.
 
Back
Top Bottom