Mwanaume mmoja tajiri alikuwa anataka kuoa, lakini hakujua atamuoa nani maana kila msichana alikuwa akijisogeza sogeza kwake naye aliogopa kutokana na kizazi hiki kilicho jilaani chenyewe.
Basi akaamua kumuomba MUNGU ili aweze kumfungua macho ya rohoni aweze kumuona mwanamke sahihi wakumuoa...
Habari zenu wakuu,
Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi
Very nice for our caring president ,long live baba
---
Rais amesema Mbio za Mwenge zinakusanya watu wengi sana na katika...
MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani.
Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kiharusi.
Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa...
Kwenye familia yetu tumezaliwa wavulana 6 wasichana 2, dada yetu mkubwa aliolewa mapema sana. Huyu mwingine wakati anaolewa mama alilia sana maana alimzoea sana na ndo alikua msaidizi wake mkubwa sana, "ajabu baba alifurahi sana" sikumwelewa baba alimaanisha nini mpaka baada ya miaka 6 alikuja...
Ureno imejitolea kuisaidia Msumbiji kupanga mkakati na kuiwezesha jeshi la nchi hiyo kukabiliana na wanamgambo wa Kiislamu wanaotishia usalama katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado wenye utajiri wa gesi.
Mwezi uliyopita wanamgambo waligeuza uwanja wa michezo kuwa "kichinjio", ambako walikata...
Nikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.
Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.
Wote tuseme Ameni.
Maendeleo hayana vyama!
Dah IMENIUMA japo HAYANIHUSU ila nimemuonea huruma sanaa mwamba.
Ni mwezi wa 12, Kama kawaida ikifika december au ikiwa inakaribia huwa nazama mikoa ya baridi kupanda miti. Safari hii nimekuja mkoa fulani hivi nyanda za juu kusini na lengo ni kupanda miti ya matunda.
Sasa katika hiyo guest...
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni wanamshikilia Mfanyakazi za Ndani , Happiness Sela (24) kwa tuhuma za kumchoma kisu Ezekiel Nyamuko (24) kwa kile kinachodaiwa kuwa alipatwa na hasira baada ya kuambiwa na mtu huyo kuwa ana roho mbaya kama sura yake ndio maana haolewi.
Chanzo: HabariLeo
Sasa...
Mungu tunatubu kama kuna mahali tumekukosea sisi watanzania au tumewakosea wazee wetu waliokwisha tangulia mbele ya haki.
Mungu usiposhuka nakuliongoza Taifa hili miaka mitano tena hatujuwi Nani atatuongoza.
Mungu unajuwa yalio sirini na yalio sio yasirini. Funua ya sirini uliponye Taifa funua...
Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima...
Na Mwamba wa Kaskazini
Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT.
Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili...
KANUNI YA 3; USIMUAIBISHE MUNGU.
Na, Robert Heriel
ANGALIZO;
Makala hii, isomwe na mtu mwenye umri kuanzia miaka 18.
Nisihesabike sehemu ya hatia endapo mtu yeyote ambaye yupo chini ya hapo ataamua kusoma. Makala hii, kwa sehemu ndogo itatumia lugha ngumu hivyo kama hupendi kusoma lugha ngumu...
Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu.
CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
Tukio la msanii wa muziki wa Bongo Fleva, kuzimiwa kipaza sauti wakati aki perform jukwaani,hapa mjini Mombasa, limeusishwa na imani za kishirikina.
Akifanya mahojiano na kituo kimoja cha radio nchini Kenya, Mganga mashuhuri wa jadi kutoka nchini Tanzania...
Tumshukuru mungu kwa kila jambo. Mwenyezi mungu hawezi kukupa kila kitu. Unaweza ukakufuru kwa baadae.
Mungu katupa amani, maliasili ambayo Tanzania ni nchi ya pili duaniani kuwa na maliasili tuzionazo. Katuondolea korona, nzige hivyo vyote hatushukuru tuu.
Sasa ameona ni vyema atunyime...
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu.
Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
Leo ikiwa ni siku ambayo kamanda Mawazo aliuwawa mwaka 2015,picha za mwili wake ukiwa umevujaa dama zimesambaa huko twitter kama kumbukumbu ya tukio hilo la kinyama.
Waliotenda unyama ule sijui kama waliowahi kamatwa, ila kibaya ni watu wa chama fulani kutojali unyama huu na kutumia nguvu...
Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii...
Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.