mungu

  1. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Ernie Chambers mwanasiasa aliyefungua kesi mahakamani kumshtaki Mwenyezi Mungu

    Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala Jimbo Hilo kwa muda mrefu Sana. Kwa kile alichokitambua na kukiamini katika sheria Ni kuwa kila mtu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Godbless Lema atagombea tena Arusha au anahamia Hai?

    Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai. Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais. Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

    Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona. Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha. --- UPDATE--- Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

    Hakika Mungu si Athumani , hebu jionee utukufu wa Mungu kwenye video hii
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtozi Aloyce Nyanda nini kilitokea jana kipindi cha Agenda 2020?

    Ndugu zangu habari za asubuhi! Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe tafakari, yawezekana nipigo kutoka kwa Mungu kwani Mungu hajaacha kuwapigania waja wake

    Mh. Freeman A. Mbowe naomba weka pembeni itikadi zote za kisiasa utafakari jambo hili. Tafakari, nikwanini kipindi hiki cha kuelekea bunge kuisha umepatwa na tatizo la kuvunjika mguu! Tena usiku wa manane? Lakini kiujumla lilikuwa nitatizo dogo sana ambalo ungeweza kulihandle vizuri tu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hasira na ghadhabu ya Mungu inaweza pia kuwa juu ya yule anaetukuzwa ambapo pigo la Mungu litawashukia wote

    Nimeshaandika mara kadhaa kupitia hapa JF kuwa kuna pigo linaweza kuja kuwapata watu fulani na hakika pigo hili ni dhahiri litatimia kwani watu hawa wameendelea kujisahau sana na wanaendelea kumkufuru Mungu (Nature). Niwaambie tu watu hawa kuwa linaweza kushuhwa pigo takatifu litalobadili kila...
  8. Dam55

    JamiiForums Tanzania Mch. Peter Msigwa, kwa hili tukio la Mbowe nenda katubu kwa uzushi wako kama kweli wewe ni mtumishi wa Mungu

    Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu. Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu. Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kwa Familia ya Freeman Mbowe na CHADEMA: Kinachoitwa "unabii wa Mungu" wa mtu anayejiita "Nabii Mashimo" hautoki kwa Mungu, ni tego hatari kwenu!!

    Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii"...
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Mke wa kwanza alimzalia mtoto albino, mke wa pili akamzalia pia mtoto albino

    Kwa jina la salamu natumai hamjambo Wakuu kweli Mungu ni wa ajabu sana, kuna ndugu yangu mmoja alimfukuza mkewe kisa kamzalia mtoto albino akidai katika ukoo hawapo hivyo atakua alichepuka. Akaoa mke mwingine but cha ajabu naye kamzalia albino yaani sasa hivi ana mwezi yupo ndani analia tu...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuzaa mtoto mwenye mapungufu fulani ni tatizo la kibailojia or mapenzi ya Mungu?

    Natumai hamjambo wakuu, Wakuu naombeni usaidizi wenu katika hili, je kumzaa mtoto akiwa mlemavu wa ngozi, macho, kiziwi, bubu, kilema or hata sura mbaya inatokana na sababu za kibailojia or mipango ya mungu?
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

    Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu? 1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu. 2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zinatufanya tumkufuru Mungu hata kuhusu corona

    Wengine tuliofiwa na Ndugu tokana na gonjwa hili la Covid 19 ndiyo tunajua machungu yake. Serikali yetu, naapa mbele za Mungu Wetu, ilipoamua kusimamisha kupima maambukizi ilificha mengi. Halijaisha juma moja nina uhakika na kifo cha Ndugu yangu mwingine kuwa kilisababishwa na corona. Ni kweli...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Mungu kinapokuwa kimbilio la wanasiasa wakati wa matatizo

    Rais Trump na kanisa Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionRais Trump alikosolewa kwa kupiga picha akiwa amebeba biblia Rais Trump hana kanisa maalum analohusishwa nalo lakini uhudhuria ibada ya kanisa mara moja moja kukiwa na hafla maalum. Amekuwa akitumia ishara na matamshi ya kidini...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mbowe aliona shetani, majeneza na vifo lakini Rais Magufuli alimuona Mungu na kuishinda Corona

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake. Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

    Ifuatayo ni orodha ya Wajumbe wa mwanzo kabisa wa Mkutano mkuu
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nani aliyemuumba Mungu?

    The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of...
  20. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwa Maelezo ya Tundu Lissu dhidi ya ' Makahaba wa Kisiasa ' ni dhahiri shahiri kuwa ' Wameshalaanika ' vibaya mpaka kwa Mwenyezi Mungu

    Kama kuna Siku ambayo nimeyasoma Maelezo ya Tundu Lissu kwa umakini wake kabisa huku nikiwa nimetulia kabisa mpaka Mzukulu nikajikuta nashindwa Kujizuia kwa Uchungu na kujikuta natokwa na Machozi basi ni haya aliyoyatoa leo kwa wale ' Makahaba wa Kisiasa ' wanaoihama CHADEMA. Na kama kuna...
Back
Top Bottom