Bibi amuita Magufuli 'Mungu' baada ya kupewa msaada

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,060
40,723
Kusema ukweli nimeona aibu kuiangali hii video, nimesoma tu heading kwenye video, maana ni aibu ilioje kuina na kusikia binadamu mwenzako akiitwa Mungu, nimeona aibu sana. Kwa wenye ujasiri wa kuangalia naomba muangali halafu mtuhadithie. Video ipo chini hapo.
 
Inasikitisha sana huyu mama masikini, matatizo ya namna hii Tanzania ni mengi sana ni vyema tukatengeneza mfumo makini wa either kusaidia watu kama hawa au kuzuia matatizo kama haya yasitokee kwenye jamii... Wanaofikiwa na Mh Raisi ni wachache kuliko wengi wasiofikiwa, tunafanyaje kuwafikia na kutoa msaada kama huu..
 
KAtika mambo ambayo Mungu hana msalia mtume ni binadamu kujikweza na kuanza kushangikia kuitwa Mungu.

Adhabu yake kwenye Bible ni kifo.
Ndio ninavyojua mimi.

Kuna mfalme walimuita Mungu. Mungu mwenyewe akamuua.

Sasa ngoja tuone labda Lema dream come turuuu
Kuna Siku nilimsikia mzee wa upako akielezea jinsi Huyo mfalme alivyokufa,ni kwamba mda mchache baada ya kutoa hio hotuba yake na kusifiwa hadi kufananishwa na Mungu alianza kutokwa na funza huku huku nyama zikiacha mwili anajiona mpaka kaanguka chini na kufa.
 
Mimi nataka kujua reaction ya mkulu ilikuaje,

Na mimi nimeogopa kuiangalia
Watu wanaongozwa na chuki hapa. Bibi amepiga magoti, rais akamwambia ''inuka tu bibi'' anayestahili kupigiwa magoti ni Mungu tu''. Bibi akaongezea hata wewe ni kama mungu wa pili. Kwa kifupi rais amemjibu vizuri sana ila kutokana na uelewa wa bibi ndiyo akasema hivyo lakini siyo kweli kwamba rais alifurahia.
 
Kusema ukweli nimeona aibu kuiangali hii video, nimesoma tu heading kwenye video, maana ni aibu ilioje kuina na kusikia binadamu mwenzako akiitwa Mungu, nimeona aibu sana. Kwa wenye ujasiri wa kuangalia naomba muangali halafu mtuhadithie. Video ipo chini hapo.
Huyo bibi atakua kilaza wa kanda hiyo
 
Back
Top Bottom