jomasi0002

Member
Apr 3, 2018
45
24
Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu.

Sifa zangu ni:

1. Mtaratibu

2. Mkarimu

3.Mrefu wastani

4.Mwenye ya mungu

5.Mwenye heshima na upendo

6.Umri wangu miaka 23

Awe na sifa angalau kati ya hizi

1.Awe na hofu ya Mungu

2.Mwenye kuvalia kawaida

3.Mkarimu

4.Mwenye heshima na upendo

5.Mwenye kujali

6.Black beauty

7.Umri kati ya miaka 19-22

Kama interested njoo PM
 
je wewe ni handsome unapenda kuwa na msichana ambaye utapenda kumuita my girlfriend or mchumba?
umepata hapa .
vigezo ni virahisi sana.
uwe unapenda kunijali kunimbembeleza na kujua mwanamke anataka nini?
mchapa kazi .
kikubwa uwe handsome jamani.
kuanzia sauti ya mpaka nini unajua kumshawishi mtu.
mimi nahitaji mtu anayejua umuhimu wamwanamke mimi ni mzuri pia.
mimi napenda ujichukue .
unipende nidekeee.
elimu atleast ujue kingereza jamani.
miaka 32-35 basi .
uwe na kazi siwezi kutunza mtu.
uwe umejipanga.
uwazi ni muhimu.
napenda mtu ambaye tunaweza kujenga sio kubomoa urafiki wetu.
sipendi mchoyo namuogopa usije.
napenda single means hajaoa wala kuachwa.
anatafuta .
nimeona nifunguke
 
Umenipata mimi hapa, nipo very romantic with attractive voice......
Naomba uje PM, alafu huu uzi ufungwe
 
je wewe ni handsome unapenda kuwa na msichana ambaye utapenda kumuita my girlfriend or mchumba?
umepata hapa .
vigezo ni virahisi sana.
uwe unapenda kunijali kunimbembeleza na kujua mwanamke anataka nini?
mchapa kazi .
kikubwa uwe handsome jamani.
kuanzia sauti ya mpaka nini unajua kumshawishi mtu.
mimi nahitaji mtu anayejua umuhimu wamwanamke mimi ni mzuri pia.
mimi napenda ujichukue .
unipende nidekeee.
elimu atleast ujue kingereza jamani.
miaka 32-35 basi .
uwe na kazi siwezi kutunza mtu.
uwe umejipanga.
uwazi ni muhimu.
napenda mtu ambaye tunaweza kujenga sio kubomoa urafiki wetu.
sipendi mchoyo namuogopa usije.
napenda single means hajaoa wala kuachwa.
anatafuta .
nimeona nifunguke
Hv handsome yupo vp.
 
Hizi jitihada znazowekwa kwenye kutafuta wenza, zkiwekwa kwenye shughuli za kiuchumi watu weng tutafika mbali.

Mtu anaweka vigezo vya kutafuta bnadamu utafikiri anamtafuta malaika.
 
je wewe ni handsome unapenda kuwa na msichana ambaye utapenda kumuita my girlfriend or mchumba?
umepata hapa .
vigezo ni virahisi sana.
uwe unapenda kunijali kunimbembeleza na kujua mwanamke anataka nini?
mchapa kazi .
kikubwa uwe handsome jamani.
kuanzia sauti ya mpaka nini unajua kumshawishi mtu.
mimi nahitaji mtu anayejua umuhimu wamwanamke mimi ni mzuri pia.
mimi napenda ujichukue .
unipende nidekeee.
elimu atleast ujue kingereza jamani.
miaka 32-35 basi .
uwe na kazi siwezi kutunza mtu.
uwe umejipanga.
uwazi ni muhimu.
napenda mtu ambaye tunaweza kujenga sio kubomoa urafiki wetu.
sipendi mchoyo namuogopa usije.
napenda single means hajaoa wala kuachwa.
anatafuta .
nimeona nifunguke

Mimi ninavyo vigezo. Ila napenda demu mkali wa sura na umbo. Ukifaulu hapo tumepatana. Nitumie picha yako hapa kwanza.
 
mimi ni kijana wa kiume *umri miaka 22.
*dini yangu mkristo
Natafuta rafiki wa kike
*umri chini ya miaka 23.
*awe dar au mbeya.
*elimu yoyote. Anayeweza kuwa mshauri mzuri mwenye maono ya maisha
NICHEK PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom