Lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola.
CHADEMA kipindi hichi inapitia wakati mgumu kwa mwenyekiti wake kuwa kizuizini.
Jambo hili ni kubwa na mko wamoja katika kupigania haki ya mwenyekiti wenu, jambo hili ni kubwa ila nashauri lisiwatoe kwenye reli katika maandalizi ya...
The world is full of evil deeds. Evil pipo, evil plans evil evil evil evil
Ili twende sawa sasa inabid tutembee humo humo tu.
Jali wanaokujal peke yake, usiemjua achana nae
NO1 will save you brother/sister
Nobody cares. Mengi yamejifcha katika mapambano haya ya kusaka maisha bora
Nitoe...
DAWASA/DAWASCO ni shirika la hivyo kabisa Sijui kama wanajua kuwa maji ni muhimu saana kwenye jamii.
Nisizunguke saana maana tatizo la maji ni la nchi nzima na ni ujinga wa viongozi wetu. Ujinga wa DAWASCO ni
1. Maji yakiwa yanavuja mtaani kwako badala ya kurekebisha wanakata bomba na kukunja...
Kikawaida halotel lets say umeweka gb 1 ya week uka top up tena in 3 days inajazia kifurushi cha kwanza kama kilikuwa hakijaisha na siku ya ku expire inasogea mbele, jamaa wamekitoa.
Hivi hizi vurugu zote ni kodi au kukomoa watu watoke online?
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya...
Wataalamu wa #Malezi wanatuambia ni muhimu kuwapa watoto elimu ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na madhara kama kujihusisha na kujamiiana wangali wadogo, mimba za utotoni, ndoa za utotoni na kupata magonjwa ya zinaa.
Lengo kuu likiwa ni kuwawezesha watoto kujilinda na kujitunza ili waendelee...
Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita.
Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa.
Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu.
Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji:
Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo.
Ukitaka...
Kuna jambo nimelikumbuka wakati nafanya mazungumzo na wafanyakazi wenzangu leo. Tulikuwa tukijikumbusha visanga na mambo mbalimbali ya miaka ya nyuma wakati tukisoma.
Ni kuhusu kujaladia madaftari. Hii kwa walimu wengi ilikuwa ni sharti muhimu; yaani akiingia darasani anaweza kuamua tu kukagua...
AFYA YA AKILI YAKO NI MUHIMU KATIKA KUPAMBANA NA #COVID19
Shirika la Afya Ulimwenguni linaeleza kuwa afya ya akili ni miongoni mwa jambo la msingi katika kupambana na janga la #coronavirus.
Inaelezwa kuwa athari za janga la Corona linaweza kuzalisha hisia za wasiwasi, woga na msongo wa mawazo...
1. Najisikia maumivu kwenye rectum, hasa ikiwa nabanwa na haja kubwa.
2. Maumivu husambaa mpaka kwenye misuli ya uume iloelekea sehem ya haja kubwa.
3. Maumivu huelekea pia mpaka kwenye paja.
4. Na hatimaye uume hupata itching kwenye urethra.
Nini hii jamani?
Nina maumivu ya korodani hasa...
Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao.
Mara nyingi mtoto...
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English.
Karibu
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
If we don't change, we don't...
Kheri kwenu kina mama wote!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Natumaini sote tunatambua Rais na kiongozi wan chi yetu kwa sasa ni Mwanamke, kama jinsi alivyojipambanua mara baada ta kula kiapo kuwa Yeye ndiye Rais wa JMT ambaye kimaumbile ni mwanamke, nasi tulimpokea na tunaendelea kumuunga...
Jamii yetu imechukulia mahusiano ya kimapenzi kuwa ni kitu kibaya Sana na hata tumelelewa kuamini ya kuwa mapenzi au hisia za kimapenzi ni kosa la jinai. Mfano mzuri ni mashuleni, ukiwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzio inakuwa kosa kuu ambalo unaweza hata kufukuzwa shule.
Sisemi kwamba...
Elimu ni mkusanyiko au muunganiko wa stadi, maarifa na ujuzi anakua nao mtu baada ya kuupata kwa njia mbali mbali, rasmi na zisizo rasmi. Katika elimu yetu ya Tanzania ambayo ina mfumo wa elimu ya awali mpaka chuo kikuu imegawanyika katika miaka mbali mbali ambayo mwanafunzi anatakiwa kusoma ili...
KWA DUNIA YA SASA "DNA" NI MUHIMU. MSIPUUZE!
Na, Robert Heriel.
Unajua kuna watu wanafikiri kizamani Sana, watu hawa hawakubali kuwa Dunia inabadilika. Watu hawa huitwa CONSERVATIVE, yaani wasiobadilika, au wasiokubali mabadiliko.
Dunia ya Sasa ni tofauti na yazamani Kwa mambo mengi...
KUCHELEWA KWA MAAMUZI YA KESI.
Kuchelewa kwa kesi ni hali ambayo kesi inachukua muda mrefu Zaidi kuliko ule muda uliowekwa kisheria. Kwa Tanzania tatizo hili bado lipo kwa kesi za madai na jinai na kuna sababu nyingi zinachangia kuwepo na tatizo hili, zikiwepo, uchunguzi wa ushaidi kuchukua...
Na Dk Juma Mohammed
Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Septemba 23 mwaka huu, Rais Samia atahutubia Baraza Kuu linalowakutanisha Viongozi...
KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI.
BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia ameanza safari kuelekea New York Marekani kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.